Social Icons

Saturday 4 October 2014

EPL | Liverpool, Hull, Sunderland Ushindi Leo,Yaya,Aguero Waipa City Ushindi | Ratiba Ya Kesho Hapa


EPL,Bao za Mohamed Diame na Nikica Jelavic zimewapa ushindi Hull City walipocheza kwao na Crystal Palace naoMABINGWA Watetezi Manchester City wameshinda Bao 2-0 kwa Bao za Dakika za mwishoni walipocheza na Aston Villa huko Villa Park

VIKOSI:
Hull City: Harper, Robertson, Davies, Dawson, Chester, Elmohamady, Huddlestone, Diame, Livermore, Hernandez, Jelavic
Crystal Palace: Speroni, Kelly, Dann, Delaney, Ward, Jedinak, Ledley, McArthur, Bolasie, Puncheon, Campbell.
REFA: Mike Dean

++++++++++++++++++++++++++
Leicester 2 Burnley 2
Mchezaji alietoka Benchi Ross Wallace aifunga Bao Dakika za Majeruhi na kuipa Sare ya Bao 2-2 ilipokuwa Ugenini kucheza na Leicester City.
Leicester walitangulia kwa Bao la Mchezaji wa Kimataifa wa Ghana Jeffrey Schlupp lakini Michael Kightly akarudisha na Riyad Mahrez kuipa Bao la Pili Leicester.
VIKOSI:
Leicester City: Schmeichel, De Laet, Morgan, Moore, Konchesky, Hammond, Drinkwater, Mahrez, Vardy, Ulloa, Schlupp
Akiba: James, King, Hamer, Knockaert, Wasilewski, Wood, Nugent.
Burnley: Heaton, Trippier, Duff, Shackell, Mee, Boyd, Arfield, Ward, Kightly, Barnes, Jutkiewicz
Akiba: Lafferty, Wallace, Sordell, Gilks, Keane, Long, Hewitt.
REFA: Phil Dowd

++++++++++++++++++++++++++
Liverpool 2 West Brom 1
Wakicheza kwao Anfield, Liverpool wamenyakua Pointi 3 kwa kuifunga West Brom Bao 2-1.
Bao za Liverpool zilifungwa na Adam Lallana, likiwa Bao lake la kwanza kwa Timu yake mpya, na Jordan Henderson huku Bao la WBA likufungwa kwa Penati iliyopigwa na Saido Berahino baada ya yeye mwenyewe kuchezewa Faulo na Dejan Lovren.

VIKOSI:
Liverpool: Mignolet, Manquillo, Skrtel, Lovren, Moreno, Henderson, Gerrard, Sterling, Coutinho, Lallana, Lambert
West Brom: Foster, Gamboa, Dawson, Lescott, Pocognoli, Gardner, Morrison, Dorrans, Sessegnon, Brunt, Berahino
REFA: Michael Oliver

++++++++++++++++++++++++++
Sunderland 3 Stoke 1
Bao mbili za Steven Fletcher na Connor Wickham  Leo zimeipa ushindi wake wa kwanza kwenye Ligi msimu huu walipoichapa Stoke City huko Stadium of Light.
Charlie Adam aliipa Bao Stoke wakati Sunderland iko Bao moja mbele..
VIKOSI:
Sunderland: Mannone, Jones, van Aanholt, Vergini, O'Shea, Cattermole, Larsson, Gomez, Buckley, Wickham, Fletcher.
Stoke: Begovic, Bardsley, Shawcross, Wilson, Muniesa; Nzonzi, Whelan; Arnautovic, Adam, Moses; Crouch
REFA: Neil Swarbrick

++++++++++++++++++++++++++
Swansea 2 Newcastle 2
Papiss Cisse ameendelea ‘kumwokoa’ Meneja wake anaesakamwa Alan Pardew baada ya kuifungia Bao 2 Newcastle na kupata Sare ya Bao 2-2 Ugenini walipocheza na Swansea City.

++++++++++++++++++++++++++++
Aston Villa 0 Man City 2
MABINGWA Watetezi Manchester City wameshinda Bao 2-0 kwa Bao za Dakika za mwishoni walipocheza na Aston Villa huko Villa Park.

Villa walipigana kiume lakini Bao la Dakika ya 82 la Yaya Toure liliwavunja nguvu na Sergio Aguero akapachika Bao la Pili Dakika ya 88.

Ushindi huu umeiinua City hadi Nafasi ya Pili wakiwa Pointi 2 nyuma ya Vinara Chelsea ambao Jumapili wana mtanange mkali Uwanjani kwao Stamford Bridge na Arsenal.

VIKOSI:
ASTON VILLA: Guzan; Hutton, Senderos, Baker, Cissokho; Delph, Westwood, Cleverley, Richardson, N’Zogbia; Agbonlahor
Akiba: Given, Bacuna, Clark, Sanchez, Bent, Weimann, Benteke.

MAN CITY: Hart; Zabaleta, Kolarov, Kompany (C), Mangala; Milner, Fernandinho, Toure, Silva; Dzeko, Aguero
Akiba: Caballero, Demichelis, Sagna, Lampard, Navas, Jovetic Fernando.

MATOKEO:
Jumamosi Oktoba 4
Hull 2 Crystal Palace 0
Leicester 2 Burnley 2
Liverpool 2 West Brom 1
Sunderland 3 Stoke 1
Swansea 2 Newcastle 2
Aston Villa 0 Man City 2

RATIBA:
Saa za Bongo
Jumapili Oktoba 5
1400 Man United v Everton
1605 Chelsea v Arsenal
1605 Tottenham v Southampton
1815 West Ham v QPR

No comments:

Post a Comment