Kadkalika Timamy anakuwa mwanasiasa wa kwanza wa ngazi ya juu kushtakiwa kuhusiana na mauaji hayo, ambayo ni mabaya zaidi tangu yale yaliyotokea katika eneo la Westgate Jijini Nairobi.
Atasalia kizuizini hadi Juni thelathini huku uchunguzi ukiendelea. Wiki iliyopita, rais Uhuru Kenyatta alilaumu wanasiasa kwa kuchochea mauaji hayo.Lakini kundi la Alshabab limedai kuhusika katika mashambulio hayo. Wengi wa waliofariki katika mashambulio hayo walikuwa watu wa jamii ya moja Kikuyu, kabila sawa na la rais Kenyatta.
Wakili wake na chama chake cha kisiasa kimewashutumu maafisa wa polisi kwa jinsi alivyokamatwa na kuhojiwaMamia ya wafuasi wa gavana huyo walifurika mahakamani kumuunga mkono gavana huyo huku baadhi ya wanasiasa wakilalamikia serikali kuhusu gavana huyo alivyokamatwa na kutendewa na polisi.
Kenyatta alipuuza madai ya Al Shabaab , hasa kwa sababu ni watu wa kabila moja waliolengwa kwa mashambulizi hayo.Polisi pia wamewakamata washukiwa 13 wa vuguvugu linalotaka kujitenga na Kenya na ambo wanatumuhiwa kwa mauaji hayo Mombasa.
Katika taarifa yake serikali ilisema kuwa wale waliokamatwa walikuwa wanapanga kufanya mauaji ya kikabila na kwamba walikuwa wanachama wa vuguvugu la
No comments:
Post a Comment