Social Icons

Tuesday 19 April 2016

Yanga Inaweza Kuiondoa Al Ahly Leo Katika Michuano ya Klabu Bingwa Afrika


Mabingwa wa Tanzania bara na wawakilishi pekee wa Tanzania waliosalia katika michuano ya CAF, timu ya Yanga SC chini ya mkufunzi, Hans Van der Pluijm siku ya leo Jumatano itashuka uwanjani kuwakabili mabingwa mara nyingi zaidi wa Ligi ya mabingwa Afrika, timu ya Al Ahly ya Misri huko jijini Alexandria.

Idadi ya Vifo Vya Raia Yaongezeka Nchini Ecuador Kulikotokea Tetemeko la Ardhi



Serikali nchini Ecuador inasema kuwa idadi ya watu waliouawa kwenye tetemeko kubwa la ardhi la siku ya Jumamosi, imeongezeka hadi zaidi ya watu 500.

Tazama Hapa Full Time Ya Azam Fc v Esperance Huko Tunisis


TAARIFA HIZI KUTOKA Tunisia Zinasema  Esperance 3-0 Azam Fc (Aggregate ; Esperance 4-2 Azam Fc ), Kwa Matokeo hayo Azam Fc Imeondolewa Katika Mashindano Ya #CufComfidarationCup2016