Social Icons

Thursday 26 November 2015

Siri kubwa kuhusu kuachana kwa Tyga na Kylie Jenner


Siku chache zilizopita, msanii wa muziki wa HipHop Marekani, Tyga aliingia kwenye headlines baada ya taarifa kusambaa kuwa yeye na mpenzi wake wa miaka 18,Kylie Jenner wameachana

Wednesday 8 July 2015

New Music: Barakah Da Prince & Ruby – Nivumilie


Huu ni wimbo mpya wa msanii Baraka Da Prince na Ruby uitwao ‘Nivumilie.’ Wimbo umetayarishwa na watayarishaji watatu, Nusder/Lollipop/Kidboy na umeandikwa na Lollipop.

Sterling Agomea Ziara Ya Liverpool Ya Mashariki Ya Mbali


Sasa Raheem Sterling amemwonyesha Brendan Rodgers wazi wazi nia yake ni kulazimisha Uhamisho kwenda Manchester City baada kumtaka Meneja huyo kumwacha kwenye Ziara ya Liverpool ya huko Mashariki ya Mbali na Australia.

Tanzanite Kuvaana na She - Polopolo Uwanja Wa Azam Complex


Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania wenye umri chini ya miaka 20 (Tanzanite) itashuka dimbani siku ya jumamosi katika uwanja wa Azam Complex kucheza na timu ya U20 ya Zambia (The Young She-polopolo) katika mchezo wa kwanza kuwania kufuzu kwa fainali za U-20 za Dunia mwaka 2016.

Tuesday 7 July 2015

Yanga Kidume Sakata La Mwashiuya, Kimondo Yakubali Yaishe


Hatimae muvi ya Kimondo na Yanga imefika mwisho baada ya katibu wa Yanga Jonas Tiboroha kufunga safari na kwenda  viunga vya Mbozi kumalizana na Kimondo Sc.

Diamond: Sijawahi kumlipa wala yeye kunilipa kufanya collabo

Diamond Platnumz amesema kuwa ameshafanya collabo na wasanii A-list karibu wote wanaofanya vizuri Afrika, lakini hakuna hata mmoja ambaye amewahi kumlipa wala wao kumlipa kwaajili ya collabo hizo.

Mayweather apokonywa mkanda wa WBO alioshinda kwenye pambano lake na Pacquiao


Floyd Mayweather amepokonywa mkanda wa WBO alioshinda kwenye pambano lake na Manny Pacquiao mwezi May.
Bondia huyo alishindwa kulipa gharama za kutambuliwa kwa pambano hilo (sanctioning fee) ambayo ni dola $200,000 ambapo mwisho wa kulipa ilikuwa ni July 3.

Hiki Ndicho Kilicho Amria Na TFF Katika Sakata la Singano (messi) Dhidi Ya Simba


Shirikisho la soka nchini TFF limevunja rasmi mkataba wa Ramadhan Singano “Messi’ na klabu yake ya Simba baada ya Wekundu hao wa Msimbazi kushindwa kuwasilisha vielelezo mbele ya kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji.

Monday 6 July 2015

Memphis Depay Akabidhiwa Jezi Yenye Gundu Manchester United


MSHAMBULIAJI Memphis Depay amejiunga na wachezaji wenzake wa Manchester United kwa mara yaa kwanza tangu asajiliwe kwa Pauni Milioni 25 kutoka PSV.