Social Icons

Sunday 17 July 2016

Reyard Mahrez Kutimkia Barcelona




Saturday 4 June 2016

DANI ALVES aandika Ujumbe wa Kuwaaga Mashabiki wa Barcelona ,Usome Hapa Ujumbe Huo

Beki wa kulia wa Barcelona Dani Alves, ameitumikia klabu hiyo kwa takriban miaka nane na sasa anaondoka  rasmi msimu huu na anatarajia kujiunga na miamba ya Serie A Juventus kwa mkataba wa miaka miwili.
Barcelona ace Dani Alves will wave goodbye to the Catalan giants this summer after eight years at the club

Bondia Machachari wa Marekani Muhammad Ali Afariki Dunia Akiwa na Miaka 74

Boxer mahiri wa zamani wa uzito wa juu ulimwenguni Muhammad Ali amefariki dunia huko katika hospitali ya Phoenix iliyopo jimbo la Arizona nchini Marekani.Ali received the Presidential Medal of Freedom from George W Bush at the White House in 2005

Tuesday 19 April 2016

Yanga Inaweza Kuiondoa Al Ahly Leo Katika Michuano ya Klabu Bingwa Afrika


Mabingwa wa Tanzania bara na wawakilishi pekee wa Tanzania waliosalia katika michuano ya CAF, timu ya Yanga SC chini ya mkufunzi, Hans Van der Pluijm siku ya leo Jumatano itashuka uwanjani kuwakabili mabingwa mara nyingi zaidi wa Ligi ya mabingwa Afrika, timu ya Al Ahly ya Misri huko jijini Alexandria.

Idadi ya Vifo Vya Raia Yaongezeka Nchini Ecuador Kulikotokea Tetemeko la Ardhi



Serikali nchini Ecuador inasema kuwa idadi ya watu waliouawa kwenye tetemeko kubwa la ardhi la siku ya Jumamosi, imeongezeka hadi zaidi ya watu 500.

Tazama Hapa Full Time Ya Azam Fc v Esperance Huko Tunisis


TAARIFA HIZI KUTOKA Tunisia Zinasema  Esperance 3-0 Azam Fc (Aggregate ; Esperance 4-2 Azam Fc ), Kwa Matokeo hayo Azam Fc Imeondolewa Katika Mashindano Ya #CufComfidarationCup2016

Wednesday 20 January 2016

Watazame Cassie, Brandy, & French Montana Kwenye Filamu Ya ‘The Perfect Match’( Trailer Hii Hapa )



Mwanamuziki Cassie  Amerejea tena kwenye screen yako, Mwimbaji huyo wa Hit Single “Me & U”, ambaye alihusika pia kwenye Step Up 2: The Streets, pamoja na Terrence J kwenye romantic comedy inayoitwa The Perfect Match.

New Music ; Meek Mill – Problem Ft Tdot illdude



Sikiliza New Single Kutoka Kwa Meek Mill an aggressive new song dundo linaitwa “Problem” Ft Tdot Illdude.

Tuesday 19 January 2016

New Video: Rich the Kid feat. Wiz Khalifa – ‘Dab Fever’




Everyone from 2 Chainz to Hillary Clinton has caught dab fever. Now Rich the Kid pays tribute to the phenomenon he and Migos helped start in the video for “Dab Fever” featuring Wiz Khalifa. 

New Video: Tyga – ‘I $mile, I Cry’ Itazame Hapa




Fresh off the release of his latest mixtape Rawwest Nigga Alive, Tyga ameachia Video ya Wimbo Wake binafsi  ambo ni Project Unaoitwa “I $mile, I Cry.” wimbo huo Unahusu sana ishu za   family .

New Music: Tinashe feat. Juicy J – ‘Energy’ ( EnjoyGoodMusic )




Akia anaandaa Album yake Ya  Joyride, Tinashe ameungana na Rapper  Juicy J na kufanya Colable Ya Maana Single inaitwa  “Energy.” Ngoma Kali sana amejaribu Kubembeleza Sana

Rick Ross Amjibu Birdman Amwambia Aje Kama Anauwezo ni Baada Ya Birdman Kusema Atamuibukia Rozay




Wakati Meek Mill ana beef na 50 Cent, bosi wa Maybach Music Rick Ross anaendeleza beef yake na boss wa Cash Money records ‘Birdman’.

Tetesi Za Usajili Ulaya Jan 19 , Van Gaal Out , Lukaku , Ighalo , Tiote , Berahino Wanaelekea Huku



Kocha wa Mashetani wekundu wa Jiji la Manchester ,Manchester United Louis Van Gaal Mkataba wake unamalizika mwaka 2017 lakini inaonekana kuwa hataweza kuumaliza mkataba huo akiwa ndani ya United na Sio Chaguo sahihi la Red Devils.

Nadal Atupwa Nje Michuano ya Australian Open Raundi Ya Kwanza


Rafael Nadal ameondolewa kwenye raundi ya kwanza katika shindano la tenisi la Australian Open baada ya kushindwa seti tano na Fernando Verdasco.

Dreams Come True , Meek Mill Kabla Yakuwa Staa Kwanza Aliyafanya Haya



Rapa Meek Mill alilelewa na mama yake baada ya kifo cha baba yake akiwa na miaka 5, baba yake Meek Mill aliuwawa ni majabazi waliovamia kwa silaha.

Andy Murray Atoa Tahadhari Msimu Huu Katika Michuano ya Australian Open



Andy Murry amesema kuwa msimu uliopita hakufanya vyema katika michuano ya Australian Open lakini hataki jambo hilo lijirudie msimu huu.

Instergram Yachafuka , Mama Tiffah na Wema Kwenye Vita Kali



Vita vikali vya maneno vimezuka Instagram kati ya Zari the Bosslady na Wema Sepetu, Vita hivyo vilianza baada ya kile kinachoonekana kuwa nimaneno kutoka kwa kambi ya Wema Sepetu kwenda kwa Mama Tiffah

Monday 18 January 2016

Siri Kubwa Ya Maisha Ya Rapper J Cole Yafichuka na Huyu Ndiyo Mke Wake , Story Hii Hapa


Katika Maisha ya mastaa kuna wanao penda kuweka mambo yao hadharani na wengine huwa wanapenda sana siri, Sasa The Dreamville Rapper alijikuta akiweka bayani ishu yake ambayo hakupenda iwe hadharani kwenye intervew na Martin Luther ,Jr Day  kwa Taarifa yako J Cole Ameoa na Mke wake anaitwa Melissa Heholt.

Tazama Ratiba na Matokeo Ya Michuano Ya CHAN 2016 Huko Rwanda


Huko Rwanda, kwenye Fainali za 2016 African Nations Championship (Chan 2016), ambazo ni  Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wachezao ndani ya Afrika zilizoanza Jumamosi, Tunisia na Guinea zilitoka 2-2 wakati Nigeria ikiibonda Niger 4-1 kwenye Mechi za Kundi C zilizochezwa Stade Régional de Nyamirambo.

Music: Ali Kiba - Dunia Shamba | Download Mp3

AC Milan Yampeleka Mahakamani Mchezaji Huyu Kutoka Afrika Kwa Kosa La Kudanganya Umri



Wachezaji wa Africa mara nyingi huwa wanajikuta kwenye tatizo la kudanganya umri wakiwa wanataka kucheza Ulaya, Yusupha Yaffa ni mchezaji wa Gambia ambae alifanikiwa kuiongopea club kubwa AC Milan kwamba ana miaka 19 wakati ana miaka 28.

Mabomu Yalindima Mkwajuni Jijini Dar Es Salaam Tazama Picha za Tukio


Zoezi la Bomoabomoa leo lilikua likiendelea katika eneo la Mkwajuni, Dar es salaam,lakini safari hii wananchi waliobomolewa nyumba zao wameonekana kupandwa na hasira na kufunga barabara, Wananchi hao waliamua kuchoma matairi katikati ya barabara na kusababisha usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo hadi askari wa FFU walipoingilia kati.

Taarifa Mbaya Juu Ya Mwandishi wa Kitabu Pendwa NGOSWE PENZI KITOVU CHA UZEMBE Hii Hapa


Mwandishi maarufu wa tamthilia na kitabu cha ‘Ngoswe, Penzi Kitovu cha Uzembe’, Edwin Semzaba amefariki dunia , Semzaba ambaye kitabu chake cha Ngoswe, Penzi Kitovu cha Uzembe kilimpatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, aliwahi kueleza kuwa alianza kuandika kitabu hicho akiwa anasoma kidato cha pili akiwa na umri wa miaka 16 tu.

Cameroon Yaanza Vyema Mashindano ya Chan 2016 Huko Rwanda ,Pata Matokeo Mengine na Ratiba Hapa


Fainali za 2016 African Nations Championship (Chan 2016), ambazo ni  Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wachezao ndani ya Afrika zilizoanza Jumamosi, zimeendelea Nchini Rwanda kwa Mechi 2 za Kundi B zilizochezwa huko Stade Huye, Mjini Huye.

Future Ametupa Sababu Za Kwanini Anapenda Topic Za Dawa Za Kulevya Kwenye Single Zake


Rapa Future ameongelea kwanini anapenda zaidi topic ya dawa za kulevya kwenye nyimbo zake nakusema ndio kitu watu wanapenda kusikia kwa sasa.

Msanii Wa Bongo Fleva SHILOLE Kwenye Vichwa Vya Habari na Dj Maphorisa, Picha Hizi Hapa


Msanii wa Bongo Fleva ambaye hivi karibuni alikuwa Nigeria na kuweza kurekodi wimbo wa Sele Bobo amefanikiwa kufanya wimbo wa Dj Maphorisa, Maphorisa ni producer wa Kundi la Uhuru aliyefanya kazi na wasanii wakubwa Afika kama Chege,WizKid, RunTown na Davido.


Baada Ya Mechi Za Jana Ligi Kuu Soka Tanzania Bara Huu Ndio Msimamo wa VPL


Michezo mingi imepigwa weekend hii kwenye ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara na kushuhudia matokeo tofauti tofauti kwenye ligi hiyo huku msimamo wa ligi hiyo ukibadilika na kuongeza presha kwa timu zinazowania ubingwa pamoja na zile za chini zinapambana kuhakikisha hazishuki daraja.

Record Breaker | Wayne Rooney Kila Goli Kwake ni Rekodi Hivi Sasa ,Tazama Rekodi Zake Hapa


Nahodha na mshambuliaji wa Manchester United Wayne Rooney jana aliingia katika vitabu vya historia mara baada ya kuifungia timu yake goli la ushindi dhidi ya mahasimu wao Liverpool katika mchezo wa ligi kuu nchini England.

Beef Kubwa Sana Kati Ya 50 Cent na MPhiladelphia Meek Mill , Tazama Hapa Yanayoendelea Juu Ya Beef Hiyo


Meek Mill na 50 Cent wameteka mtandao wa kijamii wa instagram baada ya kurushiana maneno makali na kutangaza rasmi beef kati yao.
Beef hii imetokana na maneno ya Meek Mill kwenye wimbo wake wa ‘Gave Em Hope’ kutoka kwenye mixtape yake ya Dream Chasers 4 Au 4-4 .