Michuano ya kombe la dunia imezidi kushika kasi kwa michezo mitatu iliyopigwa leo.Mchezo wa kwanza leo hii ulikuwa kati ya wawakilishi wa Afrika Cameroon dhidi ya Mexico, na wamexico wakaondoka na ushindi wa goli moja kwa bila.
Mechi ya pili iliyomalizika hivi punde ilishuhudia mabingwa watetezi Spain wakidhalilishwa kwa kipigo kizito kutoka kwa Uholanzi.Spain walianza kuliona lango la Uholanzi kwa mkwaju wa penati wa Xabi Alonso, lakini Robin van Persie akaisawazishia Uholanzi kabla ya mapumziko.
Tazama hapa video ya magoli Yote Full Time Holland 5-1 Spain>>>>>>
kindi cha pili Uholanzi walirudi kwa kasi na kufanikiwa kuongeza magoli mengine manne kupitia Van Persie, Robben aliyefunga mawili na beki Stephan de Virj akaongeza la tano. Mpira ukamalizika kwa Spain kufungwa 5-1.
Dutch destroyers: Robin van Persie embraces Arjen Robben on a superb night for Holland
Heading into the net: Robin van Persie hurls himself through the air to score a superb equaliser
Aerial ultra: Van Persie hangs as he watches his header go into the Spain net
Calamitous error: Van Persie robs Iker Casillas to poke home Holland's fourth goal
Can't believe it: Casillas looks downcast as the Holland players celebrate Van Persie's goal
Bunch of fives: Robben (left) slams home Holland's fifth goal in their stunning victory
Stefan de Vrij (left) bundles the ball in at the back post for Holland's third goal
Turning him inside out: Arjen Robben gets past Gerard Pique after taking the ball down superbly
Finish: Sergio Ramos can't close down Robben, who strikes the ball with his left foot
Net gain: Iker Casillas (right) is sent the wrong way as the ball goes into the goal
The best 11: Robben holds out his arms in celebration after scoring Holland's second
Happy Holland: Louis van Gaal high fives Van Persie after the forward's brilliant equaliser
Shut up: Diego Costa gestures to the Salvador crowd, who barracked him throughout the match
Trip: Costa is caught by De Vrij inside the area in Salvador
On the way down: Costa is tripped by Stefan de Vrij and the referee pointed to the spot
Spot on: Xabi Alonso rolls his penalty to the right of Jasper Cillessen and into the corner
Thwarted: David Silva sees his chip comfortably saved by Cillessen
Waste: Wesley Sneijder hits his shot straight at the keeper when through on goal
Proceed with caution: De Vrij (second right) is shown the yellow card by Nicola Rizzoli
Clash of the titans: Alonso and Arjen Robben compete for a ball in the air as the Dutchman goes flying
Hili ni pigo kubwa kwa Spain wanaosaka
Taji lao la 4 kubwa mfululizo baada ya kutwaa EURO 2008, Kombe la Dunia
2010 na EURO 2012.Hiki ni kipigo kikubwa cha Bao 5 ambacho mara ya mwisho walikipata Mwaka 1963.Sasa itabidi wajikusanye nguvu na Jumatano ijayo kuisambaratisha Australia ambayo ilifungwa 3-1 na Chile hapo Jana.
VIKOSI:
Spain
01 Casillas
22 Azpilicueta
18 Alba
14 Alonso (Pedro - 63')
03 Piqué
15 Ramos
21 Silva(Fábregas - 78')
16 Busquets
19 Diego Costa (Torres - 62')
08 Xavi
06 Iniesta
Netherlands:
01 Cillessen
07 Janmaat
05 Blind
04 Martins Indi
02 Vlaar
03 de Vrij (Veltman - 77' )
08 de Guzmán (Wijnaldum - 62')
06 de Jong
10 Sneijder
09 Robin van Persie (Lens - 79')
Refa: Nicola Rizzoli [Italy]
KOMBE LA DUNIA: CHILE YAIPIGA AUSTRALIA
Staa wa Barcelona Alexis Sanchez
alifunga Bao moja wakati Nchi yake Chile ilipoanza vyema Fainali za
Kombe la Dunia kwa kuichapa Australia Bao 3-1.Bao la Sanchez lilifungwa Dakika ya 12
na Dakika 2 baadae Jorge Valdivia aliwafungia Chile Bao la Pili lakini
Mkongwe wa zamani wa Everton, Tim Cahil, akafunga Bao la kawaida yake la
Kichwa na kufanya ngoma iwe 2-1 hadi Mapumziko.
MAGOLI:
Chile 3
-Sánchez Dakika ya 12
-ValdÃvia 14
-Beausejour 90
Australia 1
-Cahill Dakika ya 35
Jumatano ijayo, kwenye Kundi B, Chile watakutana na Netherlands ambao Jana waliwabomoa Mabingwa wa Dunia Spain Bao 5-1.
Australia watachezana Spain Siku hiyo hiyo Jumatano.
No comments:
Post a Comment