Ni
mechi ambayo inaingia kwenye kumbukumbu za Watanzania wanaozifatilia
hizi timu mbili sana ambapo mpaka kipindi cha kwanza kinaisha Yanga
ilikua inaongoza kwa kuwa na magoli matatu huku Simba ikiwa haina hata
moja ila kwenye kipindi cha pili Simba wakarudisha magoli yote aisee.Magoli ya Yanga yamefungwa na Ngassa kwenye dakika ya 15 na mengine mawili yamefungwa na Kiiza dakika ya 35 na 45 ambapo magoli ya Simba yamefungwa na Mwombeki dakika ya 54, Owino 57 na Kaze 83.





No comments:
Post a Comment