Social Icons

Showing posts with label AddyTz. Show all posts
Showing posts with label AddyTz. Show all posts

Saturday, 4 June 2016

DANI ALVES aandika Ujumbe wa Kuwaaga Mashabiki wa Barcelona ,Usome Hapa Ujumbe Huo

Beki wa kulia wa Barcelona Dani Alves, ameitumikia klabu hiyo kwa takriban miaka nane na sasa anaondoka  rasmi msimu huu na anatarajia kujiunga na miamba ya Serie A Juventus kwa mkataba wa miaka miwili.
Barcelona ace Dani Alves will wave goodbye to the Catalan giants this summer after eight years at the club

Bondia Machachari wa Marekani Muhammad Ali Afariki Dunia Akiwa na Miaka 74

Boxer mahiri wa zamani wa uzito wa juu ulimwenguni Muhammad Ali amefariki dunia huko katika hospitali ya Phoenix iliyopo jimbo la Arizona nchini Marekani.Ali received the Presidential Medal of Freedom from George W Bush at the White House in 2005

Tuesday, 19 April 2016

Yanga Inaweza Kuiondoa Al Ahly Leo Katika Michuano ya Klabu Bingwa Afrika


Mabingwa wa Tanzania bara na wawakilishi pekee wa Tanzania waliosalia katika michuano ya CAF, timu ya Yanga SC chini ya mkufunzi, Hans Van der Pluijm siku ya leo Jumatano itashuka uwanjani kuwakabili mabingwa mara nyingi zaidi wa Ligi ya mabingwa Afrika, timu ya Al Ahly ya Misri huko jijini Alexandria.

Idadi ya Vifo Vya Raia Yaongezeka Nchini Ecuador Kulikotokea Tetemeko la Ardhi



Serikali nchini Ecuador inasema kuwa idadi ya watu waliouawa kwenye tetemeko kubwa la ardhi la siku ya Jumamosi, imeongezeka hadi zaidi ya watu 500.

Wednesday, 20 January 2016

Watazame Cassie, Brandy, & French Montana Kwenye Filamu Ya ‘The Perfect Match’( Trailer Hii Hapa )



Mwanamuziki Cassie  Amerejea tena kwenye screen yako, Mwimbaji huyo wa Hit Single “Me & U”, ambaye alihusika pia kwenye Step Up 2: The Streets, pamoja na Terrence J kwenye romantic comedy inayoitwa The Perfect Match.

New Music ; Meek Mill – Problem Ft Tdot illdude



Sikiliza New Single Kutoka Kwa Meek Mill an aggressive new song dundo linaitwa “Problem” Ft Tdot Illdude.

Tuesday, 19 January 2016

New Video: Rich the Kid feat. Wiz Khalifa – ‘Dab Fever’




Everyone from 2 Chainz to Hillary Clinton has caught dab fever. Now Rich the Kid pays tribute to the phenomenon he and Migos helped start in the video for “Dab Fever” featuring Wiz Khalifa. 

New Video: Tyga – ‘I $mile, I Cry’ Itazame Hapa




Fresh off the release of his latest mixtape Rawwest Nigga Alive, Tyga ameachia Video ya Wimbo Wake binafsi  ambo ni Project Unaoitwa “I $mile, I Cry.” wimbo huo Unahusu sana ishu za   family .

New Music: Tinashe feat. Juicy J – ‘Energy’ ( EnjoyGoodMusic )




Akia anaandaa Album yake Ya  Joyride, Tinashe ameungana na Rapper  Juicy J na kufanya Colable Ya Maana Single inaitwa  “Energy.” Ngoma Kali sana amejaribu Kubembeleza Sana

Rick Ross Amjibu Birdman Amwambia Aje Kama Anauwezo ni Baada Ya Birdman Kusema Atamuibukia Rozay




Wakati Meek Mill ana beef na 50 Cent, bosi wa Maybach Music Rick Ross anaendeleza beef yake na boss wa Cash Money records ‘Birdman’.

Tetesi Za Usajili Ulaya Jan 19 , Van Gaal Out , Lukaku , Ighalo , Tiote , Berahino Wanaelekea Huku



Kocha wa Mashetani wekundu wa Jiji la Manchester ,Manchester United Louis Van Gaal Mkataba wake unamalizika mwaka 2017 lakini inaonekana kuwa hataweza kuumaliza mkataba huo akiwa ndani ya United na Sio Chaguo sahihi la Red Devils.

Nadal Atupwa Nje Michuano ya Australian Open Raundi Ya Kwanza


Rafael Nadal ameondolewa kwenye raundi ya kwanza katika shindano la tenisi la Australian Open baada ya kushindwa seti tano na Fernando Verdasco.

Dreams Come True , Meek Mill Kabla Yakuwa Staa Kwanza Aliyafanya Haya



Rapa Meek Mill alilelewa na mama yake baada ya kifo cha baba yake akiwa na miaka 5, baba yake Meek Mill aliuwawa ni majabazi waliovamia kwa silaha.

Andy Murray Atoa Tahadhari Msimu Huu Katika Michuano ya Australian Open



Andy Murry amesema kuwa msimu uliopita hakufanya vyema katika michuano ya Australian Open lakini hataki jambo hilo lijirudie msimu huu.

Instergram Yachafuka , Mama Tiffah na Wema Kwenye Vita Kali



Vita vikali vya maneno vimezuka Instagram kati ya Zari the Bosslady na Wema Sepetu, Vita hivyo vilianza baada ya kile kinachoonekana kuwa nimaneno kutoka kwa kambi ya Wema Sepetu kwenda kwa Mama Tiffah

Monday, 18 January 2016

Siri Kubwa Ya Maisha Ya Rapper J Cole Yafichuka na Huyu Ndiyo Mke Wake , Story Hii Hapa


Katika Maisha ya mastaa kuna wanao penda kuweka mambo yao hadharani na wengine huwa wanapenda sana siri, Sasa The Dreamville Rapper alijikuta akiweka bayani ishu yake ambayo hakupenda iwe hadharani kwenye intervew na Martin Luther ,Jr Day  kwa Taarifa yako J Cole Ameoa na Mke wake anaitwa Melissa Heholt.

Tazama Ratiba na Matokeo Ya Michuano Ya CHAN 2016 Huko Rwanda


Huko Rwanda, kwenye Fainali za 2016 African Nations Championship (Chan 2016), ambazo ni  Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wachezao ndani ya Afrika zilizoanza Jumamosi, Tunisia na Guinea zilitoka 2-2 wakati Nigeria ikiibonda Niger 4-1 kwenye Mechi za Kundi C zilizochezwa Stade Régional de Nyamirambo.

Music: Ali Kiba - Dunia Shamba | Download Mp3

AC Milan Yampeleka Mahakamani Mchezaji Huyu Kutoka Afrika Kwa Kosa La Kudanganya Umri



Wachezaji wa Africa mara nyingi huwa wanajikuta kwenye tatizo la kudanganya umri wakiwa wanataka kucheza Ulaya, Yusupha Yaffa ni mchezaji wa Gambia ambae alifanikiwa kuiongopea club kubwa AC Milan kwamba ana miaka 19 wakati ana miaka 28.

Mabomu Yalindima Mkwajuni Jijini Dar Es Salaam Tazama Picha za Tukio


Zoezi la Bomoabomoa leo lilikua likiendelea katika eneo la Mkwajuni, Dar es salaam,lakini safari hii wananchi waliobomolewa nyumba zao wameonekana kupandwa na hasira na kufunga barabara, Wananchi hao waliamua kuchoma matairi katikati ya barabara na kusababisha usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo hadi askari wa FFU walipoingilia kati.