Social Icons

Sunday 29 June 2014

Ripoti kutoka Iraq zinaarifu kuwa vikosi vya serikali vyashindwa kuteka Tiqrit Vyarudi Nyuma


Ripoti kutoka Iraq zinaarifu kuwa vikosi vya serikali vilivyojaribu kuuteka mji wa Tikrit kutoka kwa wapiganaji wa kisunni vimelazimika kurejea nyuma.

Taarifa Kuhusu Zaidi ya Watu 130 wahofiwa kufukiwa na kifusi cha jengo lililoporomoka nchini India


Maafisa nchini India wamesema wanahofu kuwa zaidi ya watu 130 wamenasa kwenye kifusi cha jengo lililoporomoka kusini mwa India,takriban Watu watano wameripotiwa kupoteza maisha katika tukio hilo mjini Porur.

Van Gaal Ahitaji Kopo La Maji Uwanjani Raundi ya Pili Katika Mchezo Dhidi Ya Mexico

Kocha wa Uholanzi Louis van Gaal anatarajia shirikisho la soka duniani FIFA litawaruhusu wachezaji wake kunywa maji katika mechi yao ya raundi ya pili dhidi ya Mexico itakayochezwa katika uwanja wa Castelao ulioko katika eneo la Fortaleza.

Beyonce na Jay Z Watoa Mshtuko Mwingine kwa Mashabiki Wao Kwenye Ziara Yao Ya Muziki Ya On The Run Inayoendelea , Tazama Hapa


Ikiwa wamewashangaza mashabiki wao kwa kuonyesha video ya harusi yao iliyofungwa mwaka 2008 na kuzaliwa kwa mtoto wao Blue Ivy, sasa Beyonce na Jay Z wametoa mshtuko mwingine kwa mashabiki wao kwenye ziara yao ya muziki ya On The Run inayoendelea.

Saturday 28 June 2014

Kombe La Dunia Penalti Zaiokoa Brazil , Rodriguez Awaadhibu Uruguay Colombia Robo Fainali Kucheza na Brazil


Kocha wa Brazil Luiz Felipe Scolari amesema Timu yake imebakisha Gemu 3 kufika ’Peponi’ baada Jana kuibwaga Chile kwa Mikwaju ya Penati 3-2 baada ya Sare ya Bao 1-1 katika Dakika 120 za Mchezo za Mechi ya Raundi ya Pili ya Kombe la Dunia.

[EXCLUSIVE] NEW VIDEO | BEN POL FT JOH MAKINI-UNANICHORA | OFFICIAL VIDEO



NEW MUSIC | Meek Mill | Lay Up (Remix) Feat. Rick Ross | Jay-Z | Trey Songz Very Hot Danload



NEW MUSIC | Lil Wayne | Krazy ..Isikilize na Danload Hapa | Hot Music


Rapper Lil Wayne Ameachia Ngoma Mpya Kama Muendelezo wa Kuiandaa Albam Yake Mpya Inayoitwa Carter V na Ngoma Hii Inaitwa  Krazy na Miongoni mwa Track Zitakazo Husika katika Albam Hiyo .

Ripoti Kutoka Ghana | Rais Awaondoa Aliekuwa Waziri wa Michezo na Msaidizi Wake Baada Ya Kuondolewa Kombe la Dunia


Ripoti toka Ghana zimedai kuwa Rais wa Nchi hiyo amewaondoa aliekuwa Waziri wa Michezo na Msaidizi wake kufuatia Nchi hiyo kutolewa Hatua ya Makundi ya Fainali za Kombe la Dunia huko Brazil.Rais John Magama hakutoa sababu zozote ila hatua hii inakuja mara baada ya Ghana kumaliza Nafasi ya mwisho ya Kundi G bila kushinda Mechi yeyote.

Taarifa Kuhusu Mwanamume mmoja Aliyelazwa Hospitali Baada Ya Kumkana Mungu


Mwanamume mmoja katika jimbo la Kano, nchini Nigeria, amepelekwa katika kituo cha matibabu ya kiakili baada ya kusema kuwa hamwamini Mungu.Taarifa hii ni kwa mujibu wa shirika moja lisilo la kiserikali nchini nIGERIA.

Fifa Yatetea Adhabu Zake Ilizompa Straika wa Uruguay Luis Suarez (NG'ATA NG'ATA)


Fifa imetetea Adhabu zake ilizompa Straika wa Uruguay Luis Suarez kwa kumuuma Meno mpinzani Uwanjani lakini Nchi yake imekasirishwa na Kocha wao kuamua kujiuliza toka Jopo la Ufundi la FIFA.

UPDATES | New Flame (Snippet) | Chris Brown ft Usher & Rick Ross | Sikiliza Hapa



Mkali wa RnB Chris Brown Ameachia Kionjo Cha Ngoma yake Inayoitwa NEW FLAME Ambayo ipo jikoni na Itatoka Siku za Hivi Karibuni ,Ambapo Kutakuwa na wageni Wawili Usher Rymond na Rapper Kutoka MMG Rick Ross.

[EXCLUSIVE]NEW VIDEO | Shetta ft. Diamond Platnumz- Kerewa (Official Video) Tazama Hapa



Kama ulikuwa Huja itazama Exclusive New Video Shetta ft. Diamond Platnumz- Kerewa ,Muda wako unahusika ili kuitazama hapa saizi ni Video Kali sana Ambayo Wadau Wengi wanaopenda Good Music Walikuwa wanaisubiri ,

NEW MUSIC | Usher | I Don't Mind Ft. Juicy J | Hot Music Danload



NEW MUSIC | DAYNA NYANGE | I DO | Danload Hapa



Kombe La Dunia Pambano lao Leo Brazil Vs Chile Refa Howard Webb Ahofiwa na Chile


Kambi ya Brazil imechukizwa na kampeni ya Chile ya kutaka kumpa presha Refa kutoka England, Howard Webb, ambae ndie atakaechezesha pambano lao la Leo la Raundi ya Mtoano ya imu 16 huko Estadio Mineirao, rasmi kama Estádio Governador Magalhães Pinto, Jijini Belo Horizonte.

NEW MUSIC | Ben Poul | Upendo | Danload Hapa



Chiellini: Adhabu Aliyopewa Suarez ni Kali Mno

Chiellini amesema kwenye tovuti yake kwamba kila mara yeye huunga mkono hatua za kinidhamu zianzochukuliwa na mashirika husika, lakini wakati huo huo, anaamini kuwa mfumo uliotumiwa ni wa kupindukia.

Manchester United Yamnasa Luke Shaw Asaini Miaka 4, Adam Lallana Kupimwa Afya Liverpool , Barcelona Bado Inamtaka Suarez Aliefungiwa!!!


Wakati Manchester United ikimsaini Fulbeki wa England Luke Shaw na Liverpool ikiwa kwenye harakati za kumpima afya Kiungo wa England Adam Lallana, Barcelona ya Spain bado inaazimia kumnunua ‘Mfungwa’ Luis Suarez kutoka Liverpool.

Friday 27 June 2014

NEW MUSIC | Calm Down | Busta Rhymes' FT EMINEM ....Cheki Hapa

Cover La Wimbo mpya wa Busta Rhymes' "Calm Down," Ambao anauandaa kumshirikisha Eminem na umetajwa Kuachiwa Mwezi Ujao, Tayari Limeshatolewa.Busta Rhymes Ametoa Taarifa za Kuachia Mkwaju Huo unaoitwa "Calm Down," Ambayo itakuwa ni Collabo na Rapper  Eminem.

Tazama Hapa Ratiba Ya Hatua Ya Mtoano Na Zipo Timu 16 Zinazowania Kutinga Robo Fainali


Fainali za Kombe la Dunia huko Brazil sasa zimeingia Hatua ya Mtoano na zipo Timu 16 zinazowania kutinga Robo Fainali.Jumamosi, Juni 28, Wenyeji Brazil watacheza na wenzao wa Marekani ya Kusini Chile huko Estadio Mineirao Jijini Belo Horizonte.

Ukraine, Georgia na Moldova zimetia sahihi mikataba ya ushirikiano na muungano wa ulaya


Ukraine, Georgia na Moldova zimetia sahihi mikataba ya ushirikiano na muungano wa ulaya, swala ambalo Urusi inapinga vikali.Makubaliano hayo ambayo yatayaunganisha pamoja mataifa hayo na kuyaegemeza Magharibi kiuchumi na kisiasa, haswa ndio msingi wa mgogoro ulioko Ukraine.

Kocha Mbrazil Marcio Maximo Leo Amesaini Mkataba wa Miaka Miwili Kuitumikia Yanga


Kocha mbrazil Marcio Maximo leo amesaini mkataba wa miaka miwili kwa ajili ya kuwatumikia Mabingwa mara 24 wa Ligi Kuu ya Vodacom timu ya Young Africans pamoja na msaidizi wake Leonadro Neiva ambao wamesema wamekuja kuisaidia Yanga iweze kufanya vizuri kwenye michuano mbalimbali.

Taarifa Juu Ya Wagonjwa wa Ebola Kutoroka hospitalini Isome Hapa


Serikali ya Sierra Leone imeonya kuwa ni hatia kumpa hifadhi mtu yeyote aliyeambukizwa virusi vya Ebola.Hii ni baada ya taarifa kuwa baadhi ya wagonjwa wametoroka hospitalini na kujificha.

Suarez Apoteza Baadhi Ya Wadhamini Wake, Tazama Hapa Alivyopokelewa Uruguay Akiwasili Kutoka Brazil


Mchezaji wa timu ya taifa ya Uruguay Luis Suarez alipewa adhabu ya kutojihusisha na soka kwa muda wa miezi minne kutoka sasa baada ya kuthibitika kumng’ata mchezaji wa Italia Giorgio Chiellini kwenye mechi za kombe la dunia.

Taarifa Kuhusu Timu Ya Taifa Ya Nigeria Kususia Mazoezi Ipo Hapa


Kikosi cha Nigeria katika kombe la dunia kimesusia kikao cha mazoezi kama ilivyopangwa kwa sababu ya kukosa kulipwa fedha zao za ziada.

Kiungo mshambuliaji mpya wa timu ya Young Africans SC Andrey Marcel Ferreira Coutinho amewasili mchana wa leo


Kiungo mshambuliaji mpya wa timu ya Young Africans SC  Andrey Marcel Ferreira Coutinho amewasili mchana wa leo jijini Dar es salaam akitokea kwao nchini Brazil tayari kabisa kwa kuanza kazi ya kuwatumikia wana Wanajangwani katika msimu wa 2014/2015.

Thursday 26 June 2014

Baada Ya Ander Herrera, ripoti zimevuja kuwa Luke Shaw anapimwa afya Klabuni Manchester United


Baada Leo rasmi kumchukua Kiungo kutoka Klabu ya Spain Athletic Club Bilbao, Ander Herrera, ripoti zimevuja kuwa Fulbeki Chipukizi wa England Luke Shaw anapimwa afya Klabuni Manchester United tayari kukamilisha taratibu za kujiunga.

Ni Rasmi Kiungo wa Athletic Club Bilbao Ander Herrera Asaini Manchester United


Mabingwa wa zamani wa England Manchester United Leo hii wametangaza kuwa Kiungo kutoka Spain Ander Herrera amesainiwa Klabuni hapo kutoka Athletic Club ya Bilbao.

Mbrazil,Marcio Marcel Maximo,Ametua Jijini Dar es Salaam Tayari kujiunga na Klabuya Yangu.


Aliekuwa Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania anaetoka Brazil,Marcio Marcel Maximo, ametua Jijini Dar es Salaam mbioni kujiunga na Klabuya Yangu.Maximo, ambae amekuja na Ndege ya Shirika la Ndege ya Afrika Kusini, ameambatana na Msaidizi wake Leonadro Martins Neiva na alilakiwa na umati mkubwa wa Wana Yanga.

FIFA Yamfungia Ng'atang'ata (Luis Suarez) Miezi 4 Na Mechi Tisa


Straika wa Uruguay Luis Suarez amefungiwa Miezi Minne kutoshiriki chochote kwenye Soka baada ya kupatikana hatia ya kumuuma Meno Beki wa Italy Giorgio Chiellini.Straika huyo wa Liverpool pia amefungiwa Mechi 9 za Kimataifa zitakazomfanya awe nje ya Fainali za Kombe la Dunia huko Brazil.

Taarifa Kuhusu Gavana Wa Kenya Kufikishwa Mahakamani Kwa Mauwaji


Gavana wa kaunti ya Lamu Pwani ya Kenya amefikishwa mahakamani na kushtakiwa kwa mauaji ya zaidi ya watu sitini katika eneo la mpeketoni.Issa Timamy hata hivyo hatakiwi kujibu mashtaka hayo wakati huu.

Taarifa Kuhusu Sulley Muntari na Kevin-Prince Boateng Kufukuzwa Katika Kikosi cha Timu ya Ghana huko Brazil


Sulley Muntari na Kevin-Prince Boateng wamefukuzwa kutoka Kikosi cha Timu ya Ghana kilichopo huko Brazil kwa ajili ya Fainali za Kombe la Dunia kutokana na ukosefu wa nidhamu.

Kuhusu Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan kuahirisa ziara yake nchini Equitorial Guniea kufuatia shambulizi la bomu


Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan ameahirisha ziara yake nchini Equitorial Guniea kufuatia shambulizi la bomu la siku ya jumatano katika mji mkuu wa Abuja,kulingana na msemaji wake.

ANDER HERRERA Kununua Makataba wake ili kulazimisha Uhamisho wake kwenda Manchester United


ANDER HERRERA ataununua Makataba wake na Klabu ya Athletic Bilbao ili kulazimisha Uhamisho wake kwenda Manchester United baada ya Klabu hiyo ya Spain kukataa kumuuza.

Monday 23 June 2014

FIFA Yaanza Kufanya Uchunguzi Kwa Mashabiki Wa Ujerumani Juu Ya Ubaguzi


Shirikisho la soka Duniani, FIFA linachunguza picha zilizozagaa zikiwaonesha mashabiki wakiwa wamejipaka rangi nyeusi katika mchezo wa kundi G baina ya Ujerumani na Ghana.

Kocha Wa Timu Ya Taifa Ya Brazil Scolari Achukizwa na Madai Ya Kwamba Wanaweza Kuchagua Mpinzani Raundi Ijayo


Kocha wa Brazil, Luiz Felipe Scolari, amekanusha kuwa Mechi yao ya Leo ya mwisho ya Kundi A na Cameroon itawanufaisha ili kupanga Mpinzani wao wa Raundi ya Pili ya Mtoano.Brazil wanahitaji Sare wakicheza na Cameroon ili kufuzu Raundi ya Pili na kabla ya Mechi hiyo,

Watoto Kuanzia Miaka 10 Kugawiwa Kondomu Nchini Kenya


Ni Kwamba Kuna sheria mpya inatarajiwa kuwasilishwa katika bunge la Senet ambayo sheria hiyo itawaruhusu watoto kuanzia miaka 10 kupewa mipira ya kondomu na dawa za kupanga uzazi.

Hii Ndio List Ya Wachezaji 11 Wa Yanga Waliotangazwa Kutovaa Uzi Wa Yanga Msimu Ujao, Itazame Hapa


Ikiwa dirisha la usajili limeshafunguliwa tangu wiki iliyopita kwa timu mbali mbali kuanza kufanya usajili wa wachezaji na zingine zikianza mazoezi, timu ya Young Africans imeweza kuweka wazi majina ya awali ya baadhi ya wachezaji ambao hawataitumikia katika msimu ujao wa 2014/2015.

Wanajeshi wa Amisom Watoa Kichapo Kwa Kundi la Kigaidi la Al Shabaab Huko Somalia


Wanajeshi wa Kenya walio chini ya Muungano wa Afrika, wameshambulia kambi za wapiganaji wa al Ahabaab huku idadi kubwa ya wapiganaji hao wakiuawa.

Huu Ndio Ujumbe Uliotolewa Kwa wakristo juu ya kutumia neno Allah Usome Hapa


Mahakama kuu nchini Malaysia imetupilia mbali ombi la kanisa Katholiki nchini humo kumuita Mungu "Allah" katika gazeti lao la lugha ya ki Malay.

Taarifa Kuhusu Hukumu ya Kifungo Cha Miaka 7 Jela Waandishi wa Habari Wa Al Jazeera Ipo Hapa


Mahakama nchini Misri imewahukumu jela miaka saba wandishi watatu wa habari wa shirika la habari la Al Jazeera waliokuwa wamezuiliwa kwa miezi sita nchini humo.

NEW MUSIC | BOW WOW | Ain't Good For Me | Sikiliza na Danload Hapa



Kutoka Kombe La Dunia Kunataarifa Kuwa Soka Nchini Ghana Lakumbwa na Tuhuma za Ufisadi


Shirikisho la soka nchini Ghana limewataka maafisa wa polisi kuingilia kati baada ya madai ya vyombo vya habari vya Uingereza kwamba mmoja wa maafisa wake alikubali timu ya nchi hiyo kucheza katika mechi zilizo fanyiwa ufisadi.

Sunday 22 June 2014

Kombe la Dunia Mchezaji wa Miaka 19, Divock Origi Aipeleka Belgium Raundi ya Pili


Mchezaji wa Miaka 19, Divock Origi, akitokea Benchi, alifunga Bao zikiwa zimesalia Dakika 2 na kuiingiza Belgium Raundi ya Pili ya Fainali za Kombe la Dunia huko Brazil baada ya kuifunga Russia Bao 1-0 kwenye Mechi ya Kundi H.

Kutoka Kenya Watu 20 wameuawa katika shambulio kwenye kijiji Mashariki Kaskazini mwa Nchi Hiyo


Kuna taarifa kuwa watu ishirini wameuawa katika shambulio kwenye kijiji Mashariki Kaskazini mwa Kenya. Watu wenye silaha walivamia kijiji cha Gunana katika County ya Wajir mapema siku ya jumapili .Amesema mapigano yalizuka kutoka na mgogoro baina ya koo mbili za Degodia na Gare.

Ronaldo Ampongeza Klose Kuifikia Rekodi Yake Kombe la Dunia , Dzeko Amlaumu Refa Kutupwa Nje Bosnia


Straika wa zamani wa Brazil Ronaldo amempongeza Miroslav Klose baada ya Mjerumani huyo kuifikia Rekodi yake ya Bao 15 za kwenye Fainali za Kombe la Dunia.

Tazama Hapa | Lameck Ditto - Tuongeze Bidii ( Official Video )



Unaambiwa NGURUWE Watiwa Mbaroni UGANDA Kutokana na "UGAIDI"


Polisi nchini Uganda wanawafanyia uchunguzi nguruwe wawili kuhusiana na "ugaidi" baada ya wanyama hao kuingia katika eneo la bunge.

Taarifa Kuhusu Wapiganaji wa Jihad Kuiteka miji zaidi Iraq Ipo Hapa


Wapiganaji wa Jihadi wameendelea kuyateka maeneo zaidi nchini Iraq,baada ya kuliteka eneo moja la kivuko karibu na mpaka wa Syria, na sasa wanalekea mjini Baghdad kupitia bonde la Euphrates.