Mchuano huo ambao umeratibiwa kuchezwa mjini Abidjan tarehe 6 Septemba umeibua taharuki miongoni mwa maafisa wa Afya na serikali kuu inatishia kuipiga marufuku.Hofu hiyo inatokana na kuenea kwa homa ya Ebola katikamataifa 5 kanda ya Afrika Magharibi ikiwemo Sierra.

Ivory Coast kususia mechi na Sierra Leone ikihofia kuenea kwa Ebola
Sierra Leone imeagiza maafisa wote wa ukufunzi kufanyiwa uchunguzi wa kutosha kabla ya kuingia Ivory Coast .

Ivory Coast kususia mechi na Sierra Leone ikihofia kuenea kwa Ebola
No comments:
Post a Comment