
Good news nyingine ni mshiriki wetu kwenye Mashindano ya Miss World, Happiness Watimanywa ambae saa chache zilizopita imethibitika kwamba ameiwakilisha vizuri Tanzania na kuifanya iingie kwenye kumi bora za mashindano ya Miss World People’s Choice.
Aliandika kwenye instagram “Tanzania Asanteni kwa support na uzalendo, tuendelee mpaka namba moja!!!!! #vote #PigaKura #DownloadTheApp #MissWorld2014”– @happinesswatimanywae.
Katika list hiyo, Happiness ameshika nafasi ya tisa katika kumi bora kama inavyoonekana hapa chini.
No comments:
Post a Comment