Social Icons

Monday 6 July 2015

Memphis Depay Akabidhiwa Jezi Yenye Gundu Manchester United


MSHAMBULIAJI Memphis Depay amejiunga na wachezaji wenzake wa Manchester United kwa mara yaa kwanza tangu asajiliwe kwa Pauni Milioni 25 kutoka PSV.



Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 alikuwa sura mpya pekee viwanja vya Carrington jana wakati kikosi cha Louis van Gaal kiliporejea mazoezini kabla ya ziara ya Amerika kujiandaa na msimu mpya.

Depay alipigwa picha akiwa amevalia jezi namba 26 ambayo atakuwa anitumia United na inatarajiwa mashabiki hawatajali hilo zaidi ya kile atakachokifanya uwanjani jezi hii ambayo siku za karibuni imetumiwa bila mafanikio na shinji Kagawa, Obertan na Manucho .

No comments:

Post a Comment