Muendelezo wa ligi Mbalimbali unaendelea wikiendi hii katika viwanja vya ligi mbalimbali barani ulaya Tazama hapa ratiba za Ligi Hiyo
Friday, 3 October 2014
Viongozi Wa China Wasema Maandamano Ya Hong Kong Yataambulia Patupu
Hamisi Tambwe Guda Guda Kuivaa Stand United na Si Majeruhi Kama Ilivyoarifiwa Awali
Mshambuliaji wa kutumainiwa wa Timu ya Simba Hamisi Tambwe leo hasubuhi amefanya mazoezi kwa asilimia 100 na kuondoa uvumi uliokua umemuhusisha kukosa mechi ya kesho dhidi ya stand united
Messi matatani kwa kukwepa kodi Apelekwa Kizimbani ,,,Tazama Hapa
Tazama Hapa Picha za programu mpya ya Windows 10 ambayo imeipiku Windows 9 Iliyozinduliwa na Kampuni ya Microsoft
Kampuni ya Microsoft imezindua programu mpya ya Windows 10 ambayo imeipiku Windows 9.Kampuni hiyo pia inatarajia wateja wake watarudi kwani wengi walikuwa wakisitasita kuboresha oparesheni zao tangu Windows 8.
DUNIANI | Tazama Picha ya Kiti Kinacho Punguza Upweke Hapa
Kuna wakati kila mmoja maishani pengine huhitaji kupata 'hug' (kukumbatiwa) ili kujisikia sio mpweke. Sasa kampuni moja nchini Japan imetengeneza kiti maalum ambacho kitakuwa tayari wakati wowote kumkumbatia na kumliwaza mtumiaji.
Thursday, 2 October 2014
Maajabu ya Dunia | Tazama hapa Sokwe wabunifu Waanzisha Tabia Mpya Mwituni
Watafiti wamegundua kifaa kipya kinachotumiwa na idadi kubwa ya Sokwe ,Wanasema kuwa kifaa hicho ni ishara tosha kwamba Sokwe wa mwituni wameanzisha tabia mpya.
Kiongozi Wa Boko Haram Atoa Tamko na Akana Kufa Asema 'Sijafa' | Story Yote Hapa
Kanda ya video inayomuonyesha mtu anayedaiwa kuwa kiongozi wa kundi la Boko Haram imetolewa akikana madai ya jeshi kwamba amefariki.Katika kanda hiyo,Abubakr Shekau anasema kuwa wapiganaji wake waliitungua ndege ya wanajeshi wa angani iliotoweka wiki tatu zilizopita.
UEFA | Wenger: Welbeck ana kasi ya umeme | Tazama hapa Video ya jinsi alivyofunga magoli 3 Kama hukuona
Mkufunzi wa kilabu ya Arsenal nchini Uingereza Arsene Wenger amemtaja mshambuliaji wake Danny Welbeck kama mchezaji mwenye kasi ya 'umeme' baada ya kuifungia timu ya Arsenal mabao matatu siku ya jumatano katika mechi ya kilabu bingwa barani Ulaya dhidi ya Galatasaray.
Saturday, 30 August 2014
New Music | Kipaji Cha Ajabu Katika Muziki Bongo | G the Gunner | For Ma People
Muziki umekuwa na ushindani mkubwa sana hivi sasa na kila kukicha vipaji huzaliwa tumeona marekani kunavipaji vilivyofanya vizuri sana katika musiki mfano Kendrick Lamar na wengine Wengi Hapa Bongo Pia kunawatu kama Young Killer na Wengine Wengi
Tazama Hapa Ratiba Ligi kuu England ( EPL ) Wikiendi Hii
Burudani ya Mechi za Wikiendi ni kuwashuhudia Washambuliaji watatu 3 Walio Sajiliwa kwa Kishindo katika ligi hiyo ...Angel Di Maria- Manchester United, Mario Balotelli- Liverpool na Samuel Etoo- Everton...Je??? Etoo kuwachachafya Chelsea ....Wakati Huo huo Straika wa Chelsea Diego Costa huenda Atakuwa nje ya Uwanja kwa Muda wa Wiki Nne 4.Torres amua kuondoka Chelsea – Atua Rasmi Ac Millan
Ivory Coast kususia mechi Dhidi ya Sierra Lion AFCON
Bayern yamsajili Kiungo Wa Real Madrid Xavi Alonso
Kiungo wa Uhispania Xabi Alonso ameafikiana mkataba wa miaka miwili na klabu ya ujerumani Bayern Munich .Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 32 amekubali kuondoka Real Madrid katika misimu mwili ijayo.
Subscribe to:
Posts (Atom)












