
Jaji huyo amepinga ombi la kiongozi wa mashtaka la kufutilia mbali mashtaka hayo kwa madai kwamba babake mchezaji huyo ndiye anayesimamia fedha zake.
Messi na babaake Jorge wanashtakiwa kwa kuiibia mamlaka ya taifa hilo zaidi ya yuro millioni 4.Wote wamekana kufanya makosa hayo yalioanza mwaka 2007.
No comments:
Post a Comment