Rapa Meek Mill alilelewa na mama
yake baada ya kifo cha baba yake akiwa na miaka 5, baba yake Meek Mill aliuwawa
ni majabazi waliovamia kwa silaha.Tuesday, 19 January 2016
Dreams Come True , Meek Mill Kabla Yakuwa Staa Kwanza Aliyafanya Haya
Rapa Meek Mill alilelewa na mama
yake baada ya kifo cha baba yake akiwa na miaka 5, baba yake Meek Mill aliuwawa
ni majabazi waliovamia kwa silaha.Andy Murray Atoa Tahadhari Msimu Huu Katika Michuano ya Australian Open
Instergram Yachafuka , Mama Tiffah na Wema Kwenye Vita Kali
Vita vikali vya
maneno vimezuka Instagram kati ya Zari the Bosslady na Wema Sepetu, Vita hivyo
vilianza baada ya kile kinachoonekana kuwa nimaneno kutoka kwa kambi ya Wema
Sepetu kwenda kwa Mama Tiffah
Monday, 18 January 2016
Siri Kubwa Ya Maisha Ya Rapper J Cole Yafichuka na Huyu Ndiyo Mke Wake , Story Hii Hapa
Katika Maisha ya mastaa kuna wanao penda kuweka mambo yao hadharani na wengine huwa wanapenda sana siri, Sasa The Dreamville Rapper alijikuta akiweka bayani ishu yake ambayo hakupenda iwe hadharani kwenye intervew na Martin Luther ,Jr Day kwa Taarifa yako J Cole Ameoa na Mke wake anaitwa Melissa Heholt.Tazama Ratiba na Matokeo Ya Michuano Ya CHAN 2016 Huko Rwanda
Huko Rwanda, kwenye Fainali za 2016 African Nations Championship (Chan 2016), ambazo ni Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wachezao ndani ya Afrika zilizoanza Jumamosi, Tunisia na Guinea zilitoka 2-2 wakati Nigeria ikiibonda Niger 4-1 kwenye Mechi za Kundi C zilizochezwa Stade Régional de Nyamirambo.
AC Milan Yampeleka Mahakamani Mchezaji Huyu Kutoka Afrika Kwa Kosa La Kudanganya Umri
Wachezaji wa Africa mara nyingi huwa wanajikuta kwenye tatizo la kudanganya umri wakiwa wanataka kucheza Ulaya, Yusupha Yaffa ni mchezaji wa Gambia ambae alifanikiwa kuiongopea club kubwa AC Milan kwamba ana miaka 19 wakati ana miaka 28.
Mabomu Yalindima Mkwajuni Jijini Dar Es Salaam Tazama Picha za Tukio
Zoezi la Bomoabomoa leo lilikua
likiendelea katika eneo la Mkwajuni, Dar es salaam,lakini safari hii
wananchi waliobomolewa nyumba zao wameonekana kupandwa na hasira na
kufunga barabara, Wananchi hao waliamua kuchoma matairi
katikati ya barabara na kusababisha usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa
barabara hiyo hadi askari wa FFU walipoingilia kati.Taarifa Mbaya Juu Ya Mwandishi wa Kitabu Pendwa NGOSWE PENZI KITOVU CHA UZEMBE Hii Hapa
Mwandishi maarufu wa tamthilia na kitabu cha ‘Ngoswe, Penzi Kitovu cha Uzembe’, Edwin Semzaba amefariki dunia , Semzaba ambaye kitabu chake cha Ngoswe, Penzi Kitovu cha Uzembe kilimpatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, aliwahi kueleza kuwa alianza kuandika kitabu hicho akiwa anasoma kidato cha pili akiwa na umri wa miaka 16 tu.
Cameroon Yaanza Vyema Mashindano ya Chan 2016 Huko Rwanda ,Pata Matokeo Mengine na Ratiba Hapa
Fainali za 2016 African Nations Championship (Chan 2016), ambazo ni Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wachezao ndani ya Afrika zilizoanza Jumamosi, zimeendelea Nchini Rwanda kwa Mechi 2 za Kundi B zilizochezwa huko Stade Huye, Mjini Huye.
Future Ametupa Sababu Za Kwanini Anapenda Topic Za Dawa Za Kulevya Kwenye Single Zake
Rapa Future ameongelea kwanini anapenda zaidi topic ya dawa za kulevya kwenye nyimbo zake nakusema ndio kitu watu wanapenda kusikia kwa sasa.
Msanii Wa Bongo Fleva SHILOLE Kwenye Vichwa Vya Habari na Dj Maphorisa, Picha Hizi Hapa
Msanii wa Bongo Fleva ambaye hivi karibuni alikuwa Nigeria na kuweza
kurekodi wimbo wa Sele Bobo amefanikiwa kufanya wimbo wa Dj Maphorisa, Maphorisa ni producer wa Kundi la Uhuru aliyefanya kazi na wasanii wakubwa Afika kama Chege,WizKid, RunTown na Davido.Baada Ya Mechi Za Jana Ligi Kuu Soka Tanzania Bara Huu Ndio Msimamo wa VPL
Michezo mingi imepigwa weekend hii kwenye ligi kuu ya Vodacom
Tanzania bara na kushuhudia matokeo tofauti tofauti kwenye ligi hiyo huku
msimamo wa ligi hiyo ukibadilika na kuongeza presha kwa timu
zinazowania ubingwa pamoja na zile za chini zinapambana kuhakikisha
hazishuki daraja.Record Breaker | Wayne Rooney Kila Goli Kwake ni Rekodi Hivi Sasa ,Tazama Rekodi Zake Hapa
Beef Kubwa Sana Kati Ya 50 Cent na MPhiladelphia Meek Mill , Tazama Hapa Yanayoendelea Juu Ya Beef Hiyo
Meek Mill na 50 Cent wameteka mtandao wa kijamii wa instagram baada ya kurushiana maneno makali na kutangaza rasmi beef kati yao.
Beef hii imetokana na maneno ya Meek Mill kwenye wimbo wake wa ‘Gave Em Hope’ kutoka kwenye mixtape yake ya Dream Chasers 4 Au 4-4 .
Subscribe to:
Posts (Atom)









