Michezo mingi imepigwa weekend hii kwenye ligi kuu ya Vodacom
Tanzania bara na kushuhudia matokeo tofauti tofauti kwenye ligi hiyo huku
msimamo wa ligi hiyo ukibadilika na kuongeza presha kwa timu
zinazowania ubingwa pamoja na zile za chini zinapambana kuhakikisha
hazishuki daraja.
Matokeo ya michezo yote ya michezo ya ligi kuu iliyochezwa weekend
hii kwenye viwanja vya miji tofauti ya Tanzania bara yapo kama
ifuatavyo.
Yanga 1-0 Ndanda FC
JKT Ruvu 1-5 Mgambo JKT
Simba 1-0 Mtibwa Sugar
Azam 1-1 African Sports
Toto Africans 0-1 Tanzania Prisons
Stand United 1-0 Kagera Sugar
Mbeya City 1-0 Mwadui FC
Coastal Union 1-1 Maji Maji FC
Baada ya mechi zote za VPL zilizopigwa mwishoni mwa juma lililopita
huu ndiyo msimamo mpya wa ligi hiyo ikiwa tayari timu zote zimecheza
michezo 14 hadi sasa.
No comments:
Post a Comment