skip to main |
skip to sidebar
Msanii Wa Bongo Fleva SHILOLE Kwenye Vichwa Vya Habari na Dj Maphorisa, Picha Hizi Hapa
Msanii wa Bongo Fleva ambaye hivi karibuni alikuwa Nigeria na kuweza
kurekodi wimbo wa Sele Bobo amefanikiwa kufanya wimbo wa Dj Maphorisa, Maphorisa ni producer wa Kundi la Uhuru aliyefanya kazi na wasanii wakubwa Afika kama Chege,WizKid, RunTown na Davido.
Hizi ni picha za Shilole na Maphorisa zilizoambatana na ujumbe wa [KaziKazi 2016].
No comments:
Post a Comment