Social Icons

Monday 18 January 2016

Future Ametupa Sababu Za Kwanini Anapenda Topic Za Dawa Za Kulevya Kwenye Single Zake


Rapa Future ameongelea kwanini anapenda zaidi topic ya dawa za kulevya kwenye nyimbo zake nakusema ndio kitu watu wanapenda kusikia kwa sasa.
 


Future anasema “Naona ni kitu watu wanapenda kuongelea kwa sasa,Kinawakamata,sababu naongelea dawa za kulevya na kulewa zaidi ila kwenye maisha yangu ya kawaida siku HIGH muda wote“.
Future anasema asilimia nyingi ya watu sasa wanatumia dawa za kulevya na kuwa HIGH muda wote.

No comments:

Post a Comment