Social Icons

Tuesday 19 January 2016

Andy Murray Atoa Tahadhari Msimu Huu Katika Michuano ya Australian Open



Andy Murry amesema kuwa msimu uliopita hakufanya vyema katika michuano ya Australian Open lakini hataki jambo hilo lijirudie msimu huu.


Baada ya Kumchapa Mjerumani kunda Alex Zverev mwenye umri wa miaka 18 ambaye yupo kwenye 100 bora ya Wachezaji wa tennis Duniani kwa seti 6-1 6-2 6-3.

Kuhusu mchezo huo wa hii leo Alfajiri Murry amesema kijana huyo amempa upinzani mkubwa lakini hata yeye akiwa mdogo aliwahi kucheza na mtu mwenye kiwango cha Juu.

No comments:

Post a Comment