Social Icons

Monday, 18 January 2016

Siri Kubwa Ya Maisha Ya Rapper J Cole Yafichuka na Huyu Ndiyo Mke Wake , Story Hii Hapa


Katika Maisha ya mastaa kuna wanao penda kuweka mambo yao hadharani na wengine huwa wanapenda sana siri, Sasa The Dreamville Rapper alijikuta akiweka bayani ishu yake ambayo hakupenda iwe hadharani kwenye intervew na Martin Luther ,Jr Day  kwa Taarifa yako J Cole Ameoa na Mke wake anaitwa Melissa Heholt.


Haya Ndiyo Yaliyojiri,  

 Creed director Ryan Coogler surprised viewers when he accidentally asked Cole, “How did getting married change you?” But what he didn’t realize is that the marriage hadn’t been publicly announced.

Cole was visibly caught off guard. “Oh, what is that?!” he said before awkwardly laughing it off. “That was like one thing to not do.”

“Nobody knows?” asked Coogler, to which Cole replied, “Well, they know now.”
The lucky woman is Cole’s longtime girlfriend Melissa Heholt.

  
Couple hiyo ilikutana walipokuwa chuo cha St. John’s University huko Queens, New York. Before Kulikuwa na Tetesi Kuwa wawili hawa wapo kwenye mahusiano lakini hawakuweka wazi mahusiano yao na ilikuwa siri mpaka hii leo

No comments:

Post a Comment