Social Icons

Wednesday 20 January 2016

New Music ; Meek Mill – Problem Ft Tdot illdude



Sikiliza New Single Kutoka Kwa Meek Mill an aggressive new song dundo linaitwa “Problem” Ft Tdot Illdude.

Baada ya Kuachia Diss Kwa Mtu mzima  50 Cent kupitia Instagram, Meek Mill ameingia jikoni nakupika kazi inayoitwa “Problem,” ambayo imekuja siku moja baada ya kutupa Surprise ya  EP 4/4. Kwenye Beat ya Billionaire production, ambopo ameshirikishwa  Tdot illdude, 
NB -Meek Mill goes after 50 Cent on “Gave ‘Em Hope,” off his new “4/4” EP.Mill Pia ameachia Single inayomdiss 50 Cent inaitwa GAVE EM HOP
 
MEEK MILL - GAVE EM HOP ( 50 CENT DISS )
 
Meek pops off with more explosive rhymes, but refrains from any more Drake disses.
Meek Mill Ft Tdot Illdude - Problem

No comments:

Post a Comment