Social Icons

Tuesday 19 January 2016

Rick Ross Amjibu Birdman Amwambia Aje Kama Anauwezo ni Baada Ya Birdman Kusema Atamuibukia Rozay




Wakati Meek Mill ana beef na 50 Cent, bosi wa Maybach Music Rick Ross anaendeleza beef yake na boss wa Cash Money records ‘Birdman’.

 Hivi karibuni Lil Wayne na Cash Money Records boss Birdman walimaliza tofauti zao walivyokutana mjini Miami na Birdman alisema hajasahau diss ya Rick Ross kwenye wimbo wake wa “Color Money” uliopo kwenye album ya Black Market .

 “Color money got you bitch out on a world tour / My lil homie made a million on his girl tour,We back to back and down to whack a ni**a unborn / Miami ni**as got them changing all the gun laws / So run Forrest got some shooters and they dying too / I got more money than that p***y that you’re signed to.

Kwenye video mpya ya Rozay kwenye mtandao wa snapchat alisema “Them nias kiss and they made up, “Fuck nias wanna hit me / Fuck, nia, come get me / Pussy nias ain’t wit me.”.

No comments:

Post a Comment