Social Icons

Wednesday 20 January 2016

Watazame Cassie, Brandy, & French Montana Kwenye Filamu Ya ‘The Perfect Match’( Trailer Hii Hapa )



Mwanamuziki Cassie  Amerejea tena kwenye screen yako, Mwimbaji huyo wa Hit Single “Me & U”, ambaye alihusika pia kwenye Step Up 2: The Streets, pamoja na Terrence J kwenye romantic comedy inayoitwa The Perfect Match.


Filamu hiyo , imekuwa directed na Bille Woodruff (Honey) na kuwa produced na Producer Queen Latifah’s Flavor  wa Unit Entertainment, Lakini pia Kuna mastaa kama Brandy, French Montana, Lauren London, na Donald Faison.

The Perfect Match inatarajiwa kutoka March 11. Tazama trailer Ya Filamu Hiyo Hapo Chini.

No comments:

Post a Comment