Sunday, 22 June 2014
Dakika 90 za Mchezo Kati ya Ghana Na Ujerumani Tazama Hapa Magoli
Saturday, 21 June 2014
Hali Bado ni Tete Huko Nigeria, shambulio jingine limetokea Karibu na kijiji Walichotekwa Wasichana
Ripoti zinasema kuwa shambulio jengine limetokea
katika kijiji kimoja cha kaskazini-mashariki mwa Nigeria, karibu na
pahala ambapo wasichana wa shule zaidi ya mia-mbili walitekwa nyara.
Habari Kuhusu Kuuwawa Kwa Mwandishi wa Habari Huko Mogadishu Kwenye Mlipuko wa Bomu
Mwandishi wa habari kijana wa Somalia ameuwawa kwenye mripuko wa bomu lilotegwa chini ya gari lake mjini Mogadishu.Yusuf Keynan alikufa wakati bomu hilo liliporipuka alipotia moto gari, akitaka kuelekea kazini.
Dakika 90 za Mchezo Kati ya Argentina Dhidi Ya Iran .Messi Athibitisha Kuwa Yeye Ni Bora Duniani Tazama Goli Alilofunga
Unaambiwa Hii Ndio First 11 ya Timu Ya Wasanii wa Hip Hop Wa Marekani World Cup
Hii ni Kwaajili Yako Mtu Wangu | LINAH Feat DiAMOND | KIZAIZA I Remix
Unafikiriaje Endapo Ukasikia Korabo ya Wakali wawili Wa sauti Bongo Kati ya Diamond na Linnah Sinasha Jibu nikuwa Ngoma Hiyo Itakuwa ni Hatari Mno .Sasa Kama Hukupata Muda Kusikiliza Remix ya Kizaizai ya Linnah aliyompa shavu Ngororo Master Diamond Platnumz Sikiliza na Danload Hapa Mzigo upo Powa.
Taarifa Juu ya Kuwasili kwa Kocha Mpya Wa Yanga Marcio Maximo Ipo hapa
Maandalizi ya msimu wa ligi kuu ya Tanzania yameanza kupamba moto huku vilabu vikijaribu kujiimarisha tayari kwa mapambano, kwa upande wa klabu ya Yanga wameanza kwa kuimarisha benchi la ufundi kwa kumuajiri kocha Marcio Maximo.
BREAKING NEWS | Ajali Mbaya Watu Sita Wafariki Dunia Katika Ajali Iliyohusisha Magari Manne Jijini Dar Es Salaam
Habari Kutoka Radio One Sterio na ITV zinasema Kuwa Watu 6 Wamefariki Dunia na wengine Kumi na Mbili KujeruhiwaKatika Ajali Iliyohusisha Magari Manne Katika Eneo la Makongo Jijini Dar Es Salaam .
Hali Yazidi Kuwa Tete Iraq Wanamgambo Wahimizwa Kujitolea Katika Mapigano Dhidi ya Kisunni
Maelfu ya wanamgambo wa Kishia waliobeba silaha,
wamefanya mhadhara mjini Baghdad na miji mengine ya Iraq ili kuonesha
nguvu zao dhidi ya wapiganaji wa Kisunni ambao wameteka maeneo makubwa
kaskazini mwa Iraq.
Taarifa Juu ya Kiongozi wa Muslim Brotherhood kunyongwa Ipo Hapa
Wakili mmoja nchini Misri amesema kwamba
mahakama imezingatia hukumu ya kifo cha wanachama 182 wa kundi la Muslim
Brotherhood .Washtakiwa hao ni miongoni mwa watu 700
wanaoshtakiwa kwa kukishambulia kituo kimoja cha polisi katika eneo la
Minya mwaka uliopita.
NEW VIDEO | G- Unit | Nah I'm Talking Bout Official
Tazama Hapa Video ya Wimbo Mpya wa Kundi La Music la Marekani G-Unit Wimbo unaoitwa G- Nah I'm Talking Bout ..Ambao umewafanya waonekane wamerudi Vyema katika game ya Music.
Huko Brazili Leo Argentina Kukutana na Wataalamu wa Nyuklia,Ghana Kuvaana na Wajerumani,Nigeria v Bosnia-Herzegovina Tazama Hapa Hali Za Vikosi
Subscribe to:
Posts (Atom)













