Social Icons

Saturday 21 June 2014

Dakika 90 za Mchezo Kati ya Argentina Dhidi Ya Iran .Messi Athibitisha Kuwa Yeye Ni Bora Duniani Tazama Goli Alilofunga


Lionel Messi Leo amefunga Bao katika Dakika ya 91 na kuipa Argentina ushindi wa Bao 1-0 kwenye Mechi ya Kundi F la Fainali za Kombe la Dunia iliyochezwa Estadio Mineirão Mjini Belo Horizonte Nchini Brazil.





Iran,chini ya Kocha Carlos Quieroz ambae aliwahi kuwa Manchester United, walisimama kidete kuisimamisha Argentina na walipata nafasi ya wao kufunga wakati kichwa cha Ashkan Dejagah  kilipookolewa na Kipa Sergio Romero.



Baadae Leo, Mechi nyingine ya Kundi F itachezwa kati ya Nigeria na Bosnia.

Argentina wamebakisha Mechi moja na watacheza na Nigeria hapo Jumatano Juni 25.

Tazama Hapa Full Time>>>>>

 

 MSIMAMO:

KUNDI F
TIMU P W D L F A GD PTS
Argentina 2 2 0 0 3 1 2 6
Nigeria 1 0 1 0 0 0 0 1
Iran 2 0 1 1 0 1 -1 1
Bosnia 1 0 0 1 1 2 -1 0





VIKOSI:

ARGENTINA: Romero, Zabaleta, Garay, Federico Fernandez, Rojo, Gago, Mascherano, Di Maria, Aguero, Messi, Higuain.

Akiba: Orion, Campagnaro, Biglia, Perez, Maxi Rodriguez, Augusto Fernandez, Demichelis, Palacio, Alvarez, Lavezzi, Basanta, Andujar.

IRAN: Alireza Haghighi, Montazeri, Hosseini, Sadeghi, Pouladi, Shojaei, Teymourian, Nekounam, Hajsafi, Dejagah, Ghoochannejhad.

Akiba: Ahmadi, Heydari, Reza Haghighi, Jahanbakhsh, Ansarifard, Hadadifar, Mahini, Alnameh, Rahmani, Beikzadeh, Beitashour, Davari.

Refa: Milorad Mazic (Serbia)


KOMBE LA DUNIA

RATIBA/MATOKEO:

JUMAMOSI, JUNI 21, 2014
SAA MECHI KUNDI UWANJA
1900 Argentina 1 Iran 0 F Estadio Mineirão
2200 Germany v Ghana G Estadio Castelão
0100 Nigeria v Bosnia-Herzegovina F Arena Pantanal


JUMAPILI, JUNI 22, 2014
SAA MECHI KUNDI UWANJA
1900 Belgium v Russia H Estadio do Maracanã
2200 South Korea v Algeria H Estadio Beira-Rio
0100 United States v Portugal G Arena Amazonia


JUMATATU, JUNI 23, 2014
SAA MECHI KUNDI UWANJA
1900 Australia v Spain B Arena da Baixada
1900 Netherlands v Chile B Arena Corinthians
2300 Croatia v Mexico A Arena Pernambuco
2300 Cameroon v Brazil A Nacional

No comments:

Post a Comment