Social Icons

Saturday 21 June 2014

Karim Kharbouch ni Mkali Anayetisha kwa Kuitwa kwenyekorabo nyingi Msimu Huu na Wasanii Wakubwa Marekani


Karim Kharbouch Amezaliwa November 9, 1984, Lakini anajulikana sana kwa jina lake la stejinikama  French Montana, Ni rapper muamerican Ambaye amezaliwa nchini Morocco. 




Karim ni Mwanzilishi na CEO wa Cocaine City Records.Mwaka 2012, alisigne Deal la kufanyakazi na Maybach Music Group na Bad Boy Records. Montana alijulikana sana kwa korabo za mara kwa mara na  Max B, na hivi karibuni kufanya na Rick Ross pamoja na group lake la Coke Boys ambalo linaundwa na rappers Chinx Drugz, Cheeze, na Flip.Na ana albam tatu ila albam yake ya kwanza inaitwa Excuse My French ambayo aliiachia  May 21, 2013.


Kwamujibu wa French, Hawa Marapper Tupac Shakur, Nas, Snoop Dogg, The Notorious B.I.G, 50 Cent, na the Wu-Tang Clan ni miongoni mwa wasanii wa  hip hop ambao alianza kuwasikiliza Tangu anakua. na ndipo alipoanza kufikilia swala la yeye kuanza kufanya music,na anazikubali sana kazi za mwanamziki wa  R&B  Amy Winehouse na Adele.
French Montana hivi sasa anasifika sana kwakushirikishwa katika kazi mbalimbali za wasanii wengine na ameonekana kuwa miongoni mwa wasanii wanao shirikishwa sana Hivi sasa na hiki ndicho kilichonifanya leo nimuangalie Huyu jamaa raia wa Morocco
NB;;;;Rick Ross feat. French Montana- Off The Boat Isikilize Hii umjue French Montana>>>>>>

No comments:

Post a Comment