Habari Kutoka Radio One Sterio na ITV zinasema Kuwa Watu 6 Wamefariki Dunia na wengine Kumi na Mbili KujeruhiwaKatika Ajali Iliyohusisha Magari Manne Katika Eneo la Makongo Jijini Dar Es Salaam .
Chanzo Cha Ajari ni Baada ya Gari Toyota Coaster Daladala Inayofanya Safari Zake za Tegeta Ubungo Kuacha njia Na kuvuka Ukingo wa Barabara na Kisha Kugona Magari Mengine ..Habari Hii Imethibitishwa na Kamanda wa Polisi wa Kinondoni Camilius Wambura, Na Miili ya Marehemu hao imeifadhiwa katika hospitali ya Jeshi ya Lugalo na Majeruhi wamelazwa hapo kwa Matibabu zaidi....Hizi ni Taarifa za awali nyingine zitakuja endelea Kufuatilia mtandao huu









Mpaka sasa idadi kamili ya vifo vilivyotokana na ajali hii haijatangazwa ingawa baada ya ajali vifo viliyotajwa ni vya watu 6 ambapo ajali hii imehusisha magari mawili aina ya Coaster yanayosafririsha abiria
Source ; Radio one na ITV Breaking news
No comments:
Post a Comment