Social Icons

Saturday 21 June 2014

BREAKING NEWS | Louis van Gaal,Amtia Kitanzini Antonio Valencia,Ni Wakwanza Kusaini Mkataba Mpya Chini Ya Meneja Huyo


Winger Wa Manchester United Antonio Valencia ameongeza mkataba wake uliobaki wa mwaka mmoja na kufanya kuwa mchezaji wa kwanza kuongeza mkataba klabuni hapo Tangu kuingia utawala wa manager mpya Louis van Gaal,



Antonio Valencia Amesaign Mkataba Mpya Wa Miaka Mitatu  Manchester United,
Winga huyu anaiwakilisha Timu yake ya Taifa ya  Ecuador Huko Brazili Kwenye World Cup na Alibakiza Mkataba Mmoja Kumaliza Mkataba Wake na Klabu hiyo, na Sasa Atasalia klabuni Hapo Hadi Mwaka 2018 na Amekuwa Mchezaji wa Kwanza Kuchaguliwa na Kocha  Louis van Gaal


Manager Msaidizi Ryan Giggs amesema Valencia ameonyesha uwezo mkubwa na Nguvu Za zaidi Old Trafford katika kuisaidia Timu Hiyo, Mchezaji huyo pia Amesema anatarajia kucheza na kushirikiana vyema na  manager huyo Mpya.

Antonio Valencia nae amesema kuwa muda wote akiwa manchester united ndoto zake nimekuwa sahii za kuwa mchezaji wa kwanza raia wa Ecuador kushinda Taji la Ligi Kuu Uingereza anajisifu kwa hilo kwani ni sifa kwake na kwa nchi yake.na ninafuraha kusign mkataba mpya na ninaangalia mbele kufanya kazi na Van Gaal



Rayn Giggs ;"I'm really pleased Antonio has signed a new contract. His contribution to the team since he joined the club in 2009 has been fantastic," Giggs told the club's official website.

"Antonio is a very powerful player with great speed and versatility. He is very professional in his approach to training and I am delighted he has committed his future to the club."

Valencia addded: "My time at Manchester United has been like a dream come true. To be the first Ecuadorian player to win the English Premier League was a very proud moment for me and for my country.

"I am so happy to have signed a new deal and am looking forward to working with Louis van Gaal. There is great team spirit within the club and we are all determined to get back to winning ways."


Source ; club's official website.

No comments:

Post a Comment