Social Icons

Sunday 5 October 2014

VPL | Yanga yapanda Hadi nafasi ya 3 Ligi kuu England,Yanyakua point 3 Kutoka kwa Jkt Ruvu


Hii Leo, huko Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam, Yanga wameichapa JKT Ruvu Bao 2-1 na kukwea hadi Nafasi ya 3 ya Ligi Kuu Vodacom Yanga walifunga Bao lao la kwanza Dakika ya 32 kupitia Kelvin Yondani na Bao hilo kudumu hadi Haftaimu.


Dakika ya 73, Haruna Niyonzima aliipatia Yanga Bao la Pili lakini JKT Ruvu walipata Bao lao moja katika Dakika za mwishoni Mfungaji akiwa Jabir Aziz.Hadi mwisho, Yanga 2 JKT Ruvu 1.

Jumapili Oktoba 5
Yanga 2 JKT Ruvu 1
Mtibwa Sugar v Mgambo JKT

MSIMAMO:
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Azam FC
3
2
1
0
5
1
4
7
2
Mtibwa Sugar
2
2
0
0
5
1
4
6
3
Yanga
3
2
0
1
4
4
0
6
4
Mbeya City
3
1
2
0
1
0
1
5
5
Tanzania Prisons
3
1
1
1
3
2
1
4
6
Kagera Sugar
3
1
1
1
3
2
1
4
7
Coastal Union
3
1
1
1
4
4
0
4
8
Stand United
3
1
1
1
3
5
-2
4
9
Ndanda FC
3
1
0
2
6
6
0
3
10
Simba
3
0
3
0
4
4
0
3
11
Mgambo JKT
2
1
0
1
1
1
0
3
12
Polisi Moro
3
1
1
1
3
5
-2
2
13
JKT Ruvu
3
0
1
2
1
4
-3
1
14
Ruvu Shooting
3
0
1
2
0
4
-4
1

No comments:

Post a Comment