Alicho-post Wema Sepetu kwenye Instagram kinachomhusu Diamond
Wema
Sepetu mwenyewe anajua kwamba watu wengi wanafikiri yeye anawaza kuwa
na Diamond hivi sasa, lakini ametoa majibu ya hayo mawazo kwenye hii
picha. Maana ya hii picha ni kwamba watu wengi wanafikiri kwamba muda
wote Diamond yupo kwenye kichwa cha Wema, lakini yeye mwenyewe anasema
kwamba muda wote anafikiria pesa. Unaionaje hiyo picha?
No comments:
Post a Comment