Happy Nyerere day, angalia documentary ya maisha ya mwalimu Nyerere – “The legacy of Julius Nyerere”
Tukiwa tunakumbuka na kusherekea maisha ya Baba wa taifa mwalimu
Julius Kambarage Nyerere, unaweza kuangalia hii documentary inayohusu
maisha ya mwalimu kuanzia alipozaliwa hadi alipoanza harakati za siasa.
Siku kama ya leo natumaini haya yatakuwa material
mazuri kwa ajili yako, enjoy.
No comments:
Post a Comment