Beyonce alivyokuwa kwenye ziara yake kwenye kisiwa cha New Zealand
alipata nafasi ya kwenda kwenye moja ya majengo marefu kisiwani humo
yanayo toa huduma ya kupoteza Uwoga wa Anga. Beyonce alifungwa kamba
sehemu muhimu kwenye mwili wake zitakazo weza kumshika wakata anashuka
kwa kamba kwenye jengo hilo. Beyonce alivyokamilisha safari hii anasema
kwa sasa hana hofu ya anga tena
Picha Zaidi Hapa
No comments:
Post a Comment