Amina Ngaluma ni miongoni mwa waimbaji ambao waliipa umaarufu bendi ya African Revolution ‘Tam tam’ kupitia wimbo wa Mgumba na baadae kujiunga na bendi ya Double M Sound,kupitia ukurasa wa Amina Ngaluma wa Facebook watu mbalimbali wameandika salaam za msiba huu.

No comments:
Post a Comment