Social Icons

Thursday 19 June 2014

Ujio Mpya Wa Chege na Temba ,Sikiliza Hapa New Single Wauwe ..Unaweza Kuidanload na kKusikiliza Hapa


Baada ya kutoka taarifa kadhaa za video ambayo ndani yake pia yupo Jokate,Chege na Temba wameamua kuuachia rasmi wimbo wao walioupa jina la Wauwe.zitumie hizi dakika 3 kusikiliza na kutoa maoni yako hapo chini ili baadae wakipita wasome ulichokisema kuhusu wimbo huu mpya ambao kashirikishwa Malomboso kutoka Yamoto Band.




Bonyeza play kusikiliza>>>>

No comments:

Post a Comment