Social Icons

Friday 20 June 2014

Kama Hujatazama Hii Video | Tazama Hapa Vanessa Mdee | Come Over (Official Video)


Hii ni video ya pili kutoka kwa Vanessa Mdee,ambayo ilizinduliwa weekend iliyopita na pia watu waliohudhuria walipata nafasi ya kusikiliza wimbo mmoja wa Vanessa Mdee unaoitwa Hawajui,video hi imefanywa na Director Enos Olik na imetengenezwa nchini Kenya.




Tazama hapa>>>> 

No comments:

Post a Comment