Social Icons

Thursday 19 June 2014

News Juelz Santana Kujiunga na YMCMB Soma Hapa


Juelz na Lil Wayne Walifanya kazi pamoja Katika mixtapes na remixes za Zamani . Mapema Mwezi May, Juelz Santana Aliiambia  VIBE kwamba anatarajia kuappear Kwenye Albam ya The Carter V Ya  Lil Wayne








Lakini Chanzo cha Habari Cha Kuaminika cha Vlad TV Walitoa Habari Juu ya Mradi wa Kufanya joint Kati Ya  Juelz na YMCMB. Hakuna  Taarifa Rasmi zilizotolewa Kutoka Katika  label Ya YMCMB Kuhusu Kusainiwa katika label Hiyo.

SOURCE: XXL Mag

No comments:

Post a Comment