Social Icons

Thursday 19 June 2014

Picha Za Kelly Rowland AkionyeshaTumbo Lake Likiwa Wazi , Ni Mjamzito !!!


Hivi Karibuni Mwimbaji wa Marekani Kelly Rowland ameonekana kuthibitisha taarifa kuwa ni mja mzito.Huu utakuwa uja uzito wa kwanza kwa msanii huyu wa zamani wa kundi la Destiny's child.






Kupitia ukurasa wake wa Mtandao Wa Kijamii wa Facebook Amepost Picha yake akiwa Gime Huku Akionyesha Tumbo lake.

Tazama picha Hii

No comments:

Post a Comment