Social Icons

Friday 20 June 2014

Staa Wa Nigeria Wizkid Athibitisha Korabo na Chris Brown | Lakini Hii Umeisikia Calling You(Remix)Wizkid Feat Chris Brown, T.I, Rick Ross, Lil Wayne, Sedjro, Meek Mill


Staa wa Nigeria, Wizkid, amethibitisha via twitter kurekodi wimbo na Chris Brown hii ni Baada ya staa huyu Wa Nigeria Kuonekana kwenye baadhi ya Picha Zake akiwa Studio na Mtaalamu wa RnB Kutoka Marekani Chris brown na Kuzua Minog'ono Huenda Kukawa na Korabo kati ya Wawili Hao.






Hatimye Wizkid amethibitisha korabo hiyo  Kupitia Ukurasa wake Wa Mtandao Wa Kijamii Wa Twitter ametweet Kwa kuandika hiki>>>
Pia Kunangoma inaitwa Calling You hii ngoma imefanyiwa Remix Huku wakihusika Hawa wakali kutoka Marekani ni Noma sana .



Wizkid – Calling You Remix ft Chris Brown, T.I, Rick Ross, Lil Wayne, Sedjro and Meek Mill

Niliielewa sana kama wewe Hujawahi kuisikia Isikilize na Kuidanload Hapa>>>>

No comments:

Post a Comment