Social Icons

Friday 20 June 2014

Video | Kerewa Shetta ft Diamond Platnumz ni Noma sana Hawa jamaa( Parody)

 

Watanzania wengi Tunasubiri Video ya Kerewa Shetta ft Diamond Platnumz sasa Hawa jamaa watoa yao.Unajua Bongo sikuhizi tumeanza kua kama mbelembele.  

 

 

 

 

Kwa wale msiojua maana ya Parody au unaweza kuita Spoof , hii ni video ambayo hutengenezwa kutania video halisi. Sasa kuna jamaa wawili wanaofanana na Diamond na Shetta wameamua kujipanga pamoja na kutoa parody ya video inayotegemewa kutoka ya Kerewa japokua washkaji wameiga video ambayo bado haijatoka. 

 

Ebu icheki ….


  

 

Credit by Viber.co.tz

No comments:

Post a Comment