Social Icons

Saturday 14 June 2014

Tazama hapa Magoli Yalivyofungwa Chile 3-1 Australia, Alexis Sanchez Akifungulia karama ya Magoli ...Full Time


Staa wa Barcelona Alexis Sanchez alifunga Bao moja wakati Nchi yake Chile ilipoanza vyema Fainali za Kombe la Dunia kwa kuichapa Australia Bao 3-1.








Bao la Sanchez lilifungwa Dakika ya 12 na Dakika 2 baadae Jorge Valdivia aliwafungia Chile Bao la Pili lakini Mkongwe wa zamani wa Everton, Tim Cahil, akafunga Bao la kawaida yake la Kichwa na kufanya ngoma iwe 2-1 hadi Mapumziko




 Tazama Hapa Magoli Yalivyoingia Full Time>>>>


No comments:

Post a Comment