Social Icons

Friday 20 June 2014

Baloteli Aja na Kali Nyingine Kupitia Twitter Asema Akiifunga Costa Rica Anahitaji Busu la Malikia wa Uingereza

Cheeky: Mario Balotelli says he expects a kiss of the Queen if Italy beat Costa Rica on Friday
Not his type... The Queen attends Ladies Day at Royal Ascot on Friday... hours before England's defeat
Balotelli ametweet: ‘kama tutawafunga Cost Rica, nataka busu, hasa kwenye shavu, kutoka kwa Malikia wa UK”.
Nyota huyu mtukutu aliifungia bao la ushindi Italia ikishinda kwa mabao 2-1 dhidi ya England katika mchezo wa kwanza wiki iliyopita na leo hii ataongoza mashambulizi tena mjini Recife.
Kama vijana wa Cesare Prandelli’s men watavuna pointi tatu leo, England watahitaji kumfunga Cost Rica jumanne, huku wakiombea Italia imfunge Uruguay usiku huo huo.Wakati huo huo Prandelli anatarajia kuibeba Cost Rica leo usiku.
Hero: Luis Suarez lead Uruguay to a famous win against the Italian


No comments:

Post a Comment