Social Icons

Thursday 19 June 2014

Suarez Awaadabisha Waingereza Kombe la Dunia Apiga Mbili Peke yake Uruguay 2-1 England,Rooney Ajisafisha


FifaWorldCup |Brazil |2014 Livescore FT; ' Luis Suarez* 2 ,  Ameonyesha mwanzo mzuri katika Timu yake ya Taifa Baada ya Kuifungia Magoli Mawili na Kuipa Point Tatu Muhimu Katika Michuano Ya FifaWorldCup :






England 0 - 2 Uruguay | Full_TIME

Uruguay wameilaza Uingereza 2-1 katika mechi yao ya pili ya kundi D. Luiz Suarez ndiye amefunga mabao yote mawili ya Uruguay Uingereza walikuwa wameshindwa mabao 2-1 na Italia katika mechi yao ya ufunguzi. 

Uruguay kwa upande wao Uingereza sasa watafurushwa kutoka kwenye kombe la dunia Brazil 2014 iwapo wapinzani wao katika kundi hilo Costa Rica watatoka sare ama kushinda Italia katika mechi yao ya pili itakayochezwa Ijumaa.

Wayne Rooney ameipa goli la kusawazisha england japo halikutosha kupeleka ushindi kwa waingereza hao,Afurahia kujisafisha baada ya waingereza kumtuhumu kuwa Hajitumi awapo dimbani, England imepoteza michezo miwili yote iliyocheza mmoja dhidi ya timu ya Taifa ya Italy ambapo Timu hiyo ilijikuta ikichapwa goli 2-1 Mechi ya ufunguzi ya Kundi hilo, 

Wakati Uruguay walipoteza Mchezo wao wa Kwanza Baada ya Kuchapwa na Timu Ya Taifa Ya Costa Rica Mechi Ya Kwanza.Sasa Uruguay Wajiandaa Kukutana na Italy wakati England nao wajiandaa Kukutana na Costa Rica

Tazama picha Haps>>>>




 

No comments:

Post a Comment