Social Icons

Thursday 19 June 2014

Nakanusha tena na tena,Hii habari ni ya Uongo!!!!! Lady Jaydee Afunguka


Baada ya Habari kuandikwa Kwenye Gazeti Moja Hapa Bongo Kuhusu Msanii Maarufu wa Bongo Fleva Lady Jaydee Kuwa Kampigia Magoti Ruge, Sasa Msanii Huyo akanusha Habari Hizo Kupitia Ukurasa Wake wa Mtandao Wa Kijamii Wa Facebook
Kuwa Habari Hiyo ni Ya Uwongo na Yeye Anaweza kupiga Magoti Mbele za Mungu na Mama Yake Mzazi tu.




Nikimnukuu
"Nakanusha tena na tena, hii habari ni ya uongo na sijui walio andika wana nia gani.Hiki kitu hakiwezi kuja kutokea. ..naweza kupiga magoti mbele za Mungu na mama yangu mzazi tu"


No comments:

Post a Comment