Joseph
Haule a.k.a Profesa Jay anayefanya poa na kazi yake mpya ya kipi
sijasikia aliyomshirikisha Diamond sasaameingia studio tena na Jose
Chameleone kutengeneza nu joint nyingine.Profesa Jay na Jose
Chameleone ni marafiki wa siku nyingi na waliwahi kutumia beat ya wimbo
Mmoja ‘Nikusaidieje’ kurekodi wimbo aliomshrikisha mdogo wake
Weasel,Bomboclat.
Kupitia Instagram Profesa Jay ameandika:
Ndani ya Mwanalizombe Studio “usiku sana”,Professor Jay Jose chameleon@lamarfishcrab @producer villy,Shidaa mpya inakuja!!!
Ndani ya Mwanalizombe Studio “usiku sana”,Professor Jay Jose chameleon@lamarfishcrab @producer villy,Shidaa mpya inakuja!!!
No comments:
Post a Comment