Social Icons

Saturday 10 May 2014

Club ya Yanga yatoa Tangazo kwa Wanachama wake




Kupitia ukurasa wa facebook wa Club ya yanga leo wametoa tangazo kwa wanachama wake


#Young_Africans_Sports_Club

#TANGAZO:
Kesho siku ya jumapili tarehe 11.05.2014 kutakua na mkutano wa Viongozi Wote wa Mataw wa Klabu ya Yanga SC kuanzia saa nne kamili asubuhi Makao Makuu ya Klabu.

Viongozi wote wa Matawi mnaombwa kuhudhuria bila kukosa.

Ahsanteni.

No comments:

Post a Comment