Social Icons

Monday 12 May 2014

Keisuke Honda, Shinji Kagawa Wapo Balzil kuiwakilisha Japan


Kocha wa Japan, Alberto Zaccheroni, ameteua Kikosi cha Nchi hiyo kwa ajili ya Fainali za Kombe la Dunia zitakazochezwa Nchini Brazil kuanzia Juni 12.Kikosi hico cha Wachezaji 23 kina Wachezani 12 wanaocheza huko Ulaya na 11 ambao wako J LIGI Nchini Japan.Miongoni mwa hao ni Mastaa wa AC Milan, Keisuke Honda, na Shinji Kagawa wa Manchester United.


Japan wapo KUNDI C la Kombe la Dunia pamoja na Ivory Coast, Greece na Colombia huku Mechi yao ya kwanza ikiwa ni Juni 14 huko Recife dhidi ya Ivory Coast, IKIFUATIWA NA Greece huko Natal hapo Juni 19 na kumaliza na Colombia Mjini Cuiaba hapo Juni 24.

  
KIKOSI KAMILI:
MAKIPA: Shuichi Gonda (Tokyo), Eiji Kawashima (Standard Liege), Shusaku Nishikawa (Urawa Reds)
MABEKI: Masahiko Inoha (Jubilo Iwata), Yasuyuki Konno (Gamba Osaka), Masato Morishige (Tokyo), Yuto Nagatomo (Inter), Gotoku Sakai (Stuttgart), Hiroki Sakai (Hannover), Atsuto Uchida (Schalke), Maya Yoshida (Southampton)

VIUNGO: Toshihiro Aoyama (Sanfrecce Hiroshima), Yasuhito Endo (Gamba Osaka), Makoto Hasebe (Nuremberg), Keisuke Honda (Milan), Shinji Kagawa (Manchester United), Yoichiro Kakitani (Cerezo Osaka), Hiroshi Kiyotake (Nuremberg), Manabu Saito (Yokohama F Marinos), Hotaru Yamaguchi (Cerezo Osaka)

MAFOWADI: Shinji Okazaki (Mainz), Yoshito Okubo (Kawasaki Frontale), Yuya Osako (1860 Munich)

No comments:

Post a Comment