Social Icons

Monday 12 May 2014

Maafa makubwa yatokea kwenye soka nchini DR Congo.


Watu wapatao 15 ambao ni washabiki wa soka wamepoteza maisha kwenye mchezo wa TP Mazembe dhidi ya ASV Club.Kwa mujibu wa waziri wa mambo ya ndani wa nchi hiyo, Emmanuel Akweti, kwenye mahojiano na shirika la habari la Uingereza alisema kwamba:


“Mapolisi wanne walikuwa wakisumbuliwa na mashabiki. Walipoamua kupiga mabomu ya machozi, fujo zikaanza kuzuka na kusababisha vifo.” 
confusao_mazembe_mediacongo_690
mashabiki wakifanya vurugu uwanjani

confusao_mazembe02_twitter_690
Polisi wakiwahudumia baadhi ya majeruhi na wengine waliofariki

No comments:

Post a Comment