Baada ya wenyeji wa Fainali za Kombe la Dunia zitakazochezwa kuanzia Juni 12, Brazil, kutangaza Kikosi chao cha awali, Nchi za South Korean na Nigeria nao wametangaza Vikosi vyao vya awali vya Wachezaji 30 kila mmoja.
NIGERIA
Nigeria imewarejesha tena Kikosini
Joseph Yobo na Peter Odemwingie katika Kikosi chao cha awali cha
Wachezaji 30 cha Fainali za Kombe la Dunia.Mara ya mwisho kwa Yobo kuichezea
Nigeria ni Mwaka Jana kwenye Fainali za AFCON huko Afrika Kusini wakati
Odemwingie, anaechezea Stoke City, amekuwa akiachwa na Kocha Stephen
Keshi baada kugomba nae tangu kabla ya AFCON 2013.Wachezaji maarufu ambao wameachwa ni pamoja na Brown Ideye na Fegor Ogude wanaocheza Klabu za Ukraine.
KIKOSI KAMILI:
MAKIPA: Vincent Enyeama
(Lille/France), Austin Ejide (Hapoel Be'er Sheva/Israel), Chigozie
Agbim (Gombe United, Nigeria), Daniel Akpeyi (Warri Wolves, Nigeria)
MABEKI: Elderson
Echiejile (Monaco/France), Efe Ambrose (Celtic FC/Scotland), Godfrey
Oboabona (Rizespor/Turkey), Azubuike Egwuekwe (Warri Wolves, Nigeria),
Kenneth Omeruo (Middlesbrough/England), Juwon Oshaniwa (Ashdod
FC/Israel), Joseph Yobo (Norwich City/England), Kunle Odunlami (Sunshine
Stars, Nigeria)
VIUNGO: Mikel Obi
(Chelsea/England), Ogenyi Onazi (SS Lazio/Italy), Ramon Azeez
(Almeria/Spain), Ejike Uzoenyi (Enugu Rangers, Nigeria), Gabriel Reuben
(Beveren/Belgium), Nosa Igiebor (Real Betis/Spain), Joel Obi
(Parma/Italy), Michael Uchebo (Cercle Brugge/Belgium), Sunday Mba (CA
Bastia/France)
MAFOWADI: Ahmed Musa
(CSKA Moscow/Russia), Shola Ameobi (Newcastle United/England), Victor
Moses (Liverpool/England), Emmanuel Emenike (Fenerbahce/Turkey), Obinna
Nsofor (Chievo Verona/Italy), Peter Osaze Odemwingie (Stoke
City/England), Babatunde Michael (Volyn/Ukraine), Nnamdi Oduamadi
(Varese/Italy), Uche Nwofor (Heerenveen/Netherlands)
South Korean
Kocha wa South Korean Hong Myung-bo ametangaza kikosi cha wachezaji 23 kitakachoelekea #Brasil2014 kwenye kombe la dunia
#Goalkipers: Jung Sung-ryong (Suwon Bluewings), Kim Seung-gyu (Ulsan Hyundai) y Lee Bum-young (Busan IPark).
#Defenders: Kim Jin-su (Albirex Niigata), Kim Young-gwon (Guangzhou Evergrande), Yoon
Suk-young (QPR), Hwang Seok-ho (Hiroshima Sanfrecce), Hong Jeong-ho (Augsburgo), Kwak Tae-hwi (Al Hilal), Lee Yong (Ulsan Hyundai) y Kim Chang-su (Kashiwa Reysol).
#Midifilder: Ki Sung-yueng (Sunderland), Ha Dae-sung (Beijing Guoan),Han Kook-young (Kashiwa Reysol), Park Jong-woo (Guangzhou R&F), Kim Bo-kyung (Cardiff City), Lee Chung-yong (Bolton Wanderers), Ji
Dong-won (Augsburgo) y Son Heung-min
#SUB: Koo Ja-cheol (Mainz 05), Lee Keun-ho (Sangju Sangmu), Park Chu-young (Watford) y Kim Shin-wook (Ulsan Hyundai).
No comments:
Post a Comment