
Rihanna a.k.a Riri ameimwaga Recording label yake ya muda mrefu ya Def
Jam Records na kujiunga na label inayoongozwa na Jay Z ambayo ni Roc
Nation Recordind Label…Jarida la Complex limeripoti.Pamoja na Rihanna kuachana na Def Jam lakini album yake ijayo baada ya
ile ya mwaka 2012 ‘Unapologetic’,itaendelea kusambazwa na label hiyo.
Jay Z ndiye aliyempa dili Riri Rihanna kipindi alipokuwa bado ni Rais wa
Def Jam kabla hajajiondoa mwaka 2009 na kuanzisha label yake ya Roc
Nation, lakini uhusiano wao wa kikazi uliendelea kama kawaida.
No comments:
Post a Comment