Social Icons

Friday 9 May 2014

David de Gea Mchezaji Bora wa Mwaka wa Manchester United

Kipa David de Gea ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Manchester United kutoka kwa wachezaji wenzake na mashabiki katika sherehe zilizofanyika usiku wa jana.
Kipa huyo wa kimataifa wa Hispania alipokea tuzo hizo mbili, moja ya Sir Matt Busby mchezaji bora wa mwaka, inayopigiwa kura na mashabiki na ya wachezaji, Mchezaji Bora wa Wachezaji wa Mwaka baada ya kufanya kazi nzuri msimu huu.De Gea alishinda tuzo ya mashabiki baada ya kupata asilimia 54 ya kura, akiwashinda Wayne Rooney na Adnan Januzaj walioshika nafasi ya pili na ya tatu
Mshindi mkuu: David de Gea (katikati) akipokea tuzo ya Mchezaji Bora wa mwaka ya Sir Matt Busby Player kutoka kwa kocha wa muda, Ryan Giggs (kulia) na Steven Cross kushoto

Check this out: De Gea is presented with the Players' Player of the Year award by Juan Mata (right)
Nyingine hiyo: De Gea akipokea tuzo ya Mchezaji Bora wa Wachezaji kutoka kwa Juan Mata (kulia)
Lady in red: Manchester United goalkeeper David de Gea with pop-star girlfriend Edurne Garcia
Lady in red: Manchester United goalkeeper David de Gea with pop-star girlfriend Edurne Garcia
Mwanamama katika uzi mwekundu: Kipa wa Manchester United, David de Gea akiwa mpenzi wake, Edurne Garcia
Legends: Ryan Giggs (right) is presented with the Lifetime Achievement award by Sir Bobby Charlton
Gwiji: Ryan Giggs (kulia) akikabidhiwa tuzo ya mafanikio ya muda mrefu na gwiji wa klabu Sir Bobby Charlton
Recognition: Wayne Rooney is presented with the Goal of the Season award by Brian McClair
Mkali wa mabao: Wayne Rooney akikabidhiwa tuzo ya Bao bora la msimu na Brian McClair
Super strike: Rooney's strike against West Ham in March was named United's goal of the season
Bao lenyewe: Rooney alifunga bao hilo katika mechi na West Ham mwezi Machi
Up and coming: James Wilson (right) is presented with the Jimmy Murphy Young Player of the Year award
Anayeibukia: James Wilson (kulia) akikabdhiwa na Jimmy Murphy tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi wa mwaka
Silverware: Saidy Janko is interviewed by Hayley McQueen after winning reserve player of the year
Na huyu pia: Saidy Janko akifanyiwa mahojiano na Hayley McQueen baada ya kushinda tuzo ya mchezaji bora wa akiba wa mwaka

De Gea alisema: "Nataka kuwashukuru mashabiki. Tangu siku yangu ya kwanza kabisa katika klabu, nilihisi wananipenda na nina furaha kabisa. Kwao, tutajaribu msimu ujao kufanya vizuri tena,"alisema'.

WASHINDI WA TUZO ZA WACHEZAJI BORA WA MANCHESTER UNITED MSIMU WA 2013/2014

Tuzo ya Sir Matt Busby (Mchezaji Bora wa Mwaka) - David de Gea
Mchezaji Bora wa Mwaka- David de Gea
Bao bora la msimu - Wayne Rooney vs West Ham United Machi 22, 2014
Denzil Haroun Reserve Team Player of the Year - Saidy Janko
Tuzo ya Jimmy Murphy Mchezaji Bora wa Akademi wa mwaka - James Wilson
Tuzo ya Mafanikio ya Muda mrefu- Ryan Giggs

No comments:

Post a Comment